Ubora wa Bucha unashambihiana na ubora wa nyama.Kwa wale wataalamu wa nyama wanajua kabisa Postslaughter handling has a tremendous effect on the quality of meat. Nyama ikiwa kwenye bucha lenye jua bila kiyoyozi hiyo nyama hupoteza maji maji na kuwa kavu haina utamu.Lairage time and Lairage conditions Nyama kama imening'nizwa sana buchani ubora utapungua. Nyama ikiwa buchani imewekwa vibaya na nzi wameweka makazi nasema hapana. Mchungaji lazima nitembelee bucha nyingi nipate kile kilicho bora. Mikoa ya Mtwara, Mwanza Shinyanga na Lindi huusani Kagera, kule Katelero Bucha zao nzuri na nyama zao, nchi za Uganda, Burudi na Rwanda wanafahamika hao. Tukirudi Tanzania wapishi wazuri wa Nyama wako Zanzibar, Tanga, Tabora, Kigoma hasa UvinzaNaangalia ubora si mradi nyamaMch Rev Fr Masa