Mabucha tofauti......

Hahahaha...ndo mkome kuingia ingia kila sehemu.
 
Baba mchungaji hii habari inatatiza...Back to topic..
 

ungefunga huo mlango wa nyuma kwanza..
wasije ingia wezi au wadudu lol
 
wanapoipika vibaya 'hii' nyama wanahisi nyama yenyewe ndio mbaya wanaanza kutafuta 'ile' nyama. Utofauti wa nyama ni kwenye mapishi, kama leo utachemsha supu basi kesho ikaange, siku nyingine iunge. We kila siku michemsho lazima ukinai.


Kwahiyo mpishi mzuri anaweza akafanya nyama ya mbuzi ikawa tamu kama ya kiti moto au ya kuku....?
Alafu labda nyama nyingine zinajipika zenyewe haziitaji preparation ya nguvu au...?, yaani ukimwaga viongo vyako ukachemsha tayari ushapenda....?
 
Tuwafanyeje hawa mkwe?!Mtu tatizo liko kwako ila lawama anaelekeza kwingine.

mkwe ngumu hiyo......unaweza kubadili mapishi akasema alitamani ya mchemsho kesho ukipika mchemsho atatamani kukaanga....hata ukibadili mapishi namna gani naona bado atatafuta nyama mabucha au mapishi mengine kama kawaida kwa visingizio
 
sitasahu kabisa..............

mazingira machafu yaani nyasi zimeota hadi nyuma ya bucha.......

Mkuu suala la usafi you can correct it sio kwa kuhakikisha kwamba mwenye bucha anasafisha
 
sasa sisi tununue na tupike na nyie je??????????
Sisi??!Mbona hata sie tunasaidia swala zima la maandalizi?!Sema sasa ndo mtujulishe kama kuna kitu kinamiss.Chumvi ikiisha badala ya kukimbilia bucha lingine toeni taarifa mapema/agizeni wakati wa kupika iwepo.
 
Kwahiyo mpishi mzuri anaweza akafanya nyama ya mbuzi ikawa tamu kama ya kiti moto au ya kuku....?Alafu labda nyama nyingine zinajipika zenyewe haziitaji preparation ya nguvu au...?, yaani ukimwaga viongo vyako ukachemsha tayari ushapenda....?
Kwanini unataka nyama ya ng‘ombe iwe kama ya kuku?!Kama unataka ya kuku kwanini usile kuku?!Kuhusu nyingine kutokuhitaji kukarangizwa sana hapo ndipo hitaji na kiu ya mlaji inapokuja...kama wewe unaridhika na mvhemsho wa chumvi tu kila siku there is no harm in that...muhimu ni ujue kwamba siku ukitaka ladha tofauti unaweza kuipata kwenye nyama hiyo hiyo uipendayo kwa kubadili mapishi.
 
mkwe ngumu hiyo......unaweza kubadili mapishi akasema alitamani ya mchemsho kesho ukipika mchemsho atatamani kukaanga....hata ukibadili mapishi namna gani naona bado atatafuta nyama mabucha au mapishi mengine kama kawaida kwa visingizio
Mkwe inabidi kuwe na makubaliano mapemaaaa....ili hata akianza lawama na visingizio visiwe na mshiko.Kama ni wali nyama anataka unamwandalia wali nyama na sio maharage...asiporidhika na mpangilio huo basi tena huyo hafai.
 
my favourite food ni wali maharage....
nata nikirudi nyumba nile chakula hiko..

but njiani nikona chips kuku nisile?kwa sababu nyumbani kuna wali?
 
Kwanini unataka nyama ya ng‘ombe iwe kama ya kuku?!Kama unataka ya kuku kwanini usile kuku?!.
Nadhani thats what people are doing kula kwao steak (huenda ndio their favorite) lakini it does not mean kwamba mara moja moja hawezi kupata hamu ya mifupa (makongoro) unless unataka kuniambia kuna ujuzi wa kupika magongolo yakawa sawa na steak.....

Pili kubadilisha kwao kwa bucha does not necessarily mean kwamba bucha aliyotoka haifai inawezekana tu amefurahishwa na muuzaji kwahiyo anatakuja kudeal naye mara moja moja tofauti na muuzaji wa kwanza huenda hana customer care, ingawa nyama yake ni nzuri
 
Well since siwezi kuwanyima watu kula na kuchanganya nyama za kila aina nawaambia tu wawe waangalifu.Kwasababu tu mtu anapendezwa na mifupa sio lazima aile...kuna wengine meno hawana au wanaishiabkupaliwa hata ile steak waliyokua wanakula wlna kufurahia mwanzo wanaikosa/wanaishindwa.
 
my favourite food ni wali maharage....
nata nikirudi nyumba nile chakula hiko..

but njiani nikona chips kuku nisile?kwa sababu nyumbani kuna wali?


ukifika utakuwa umeshiba chips kuku utaweza kula tena wali maharage
 
Hatoweza...au atadonoa donoa tu alafu wali maharage ukiliwa na mwingine mtu anaanza kunung‘unika.

mamkwe unajua ukiwa umekula ukashiba ukiona chakula hutamani kabisa hata kukishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…