Mabudaa mkae kando kwanza nibonge na hawa madem

Mresh mambo? Lenga story za huyo kabudaa. Ni za ovyo.
 
nimfurahishe kwani ye ni mume wangu? Ati atajiju meen, atafute maguruguru abonge nao aki mie na bonga na masonko, au kama ni mzii ajisongeshe joo!
Mi si sos, na kama we huuza, sinunuagi, mi hupewa. Kwa hivyo ishia. Nanii teMbea ujipe shughli
 
Afta mastress zangu mob za kubamba doo , ndy nakam eria! Nikategemea hadi mataim hizi ningebamba iven ngiri mbili.
Bat nimebek from ta'aoo na gobole! Kama kuna mdosi eria hizi si aniskwiz hata mbau nikakule chapoo na tii aisey!
Kama duu nibambe mathrii za relwes niunge zangu Kawangware.
 
Mi si sos, na kama we huuza, sinunuagi, mi hupewa. Kwa hivyo ishia. Nanii teMbea ujipe shughli

hahahaaa crazy buda na ulivyo pararara kama makende ya cockroach, heri mie ninaetembea nijipe shughuli saa we kitegeshe upewe mamunju!
 

aisee Judgement kwani si mmeambiwa mabudaa mkae kando?
 
Last edited by a moderator:
Wazi joh. Umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…