Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio imeteke na kutawala maongezi ya wananchi wa rika na makundi mbalimbali.
Ukisimama na kuingia barabarani ni kijani ndio imepamba barabarani kwa magari mazuri na tulivu sana ya CCM. ambayo mtu ukiwa ndani ya magari hayo ni kama umepanda AirForce One ndege inayotumiwa na Rais wa Marekani.
Mheshimiwa David Silinde Mbunge wa Tunduma ameonekana kuwa mwenye tabasamu na furaha kubwa sana katika uso na paji la uso wake .pale alipokuwa ameingia na kukalia siti za gari hizo zenye ubora wa hali ya juu sana.
Akiwa na wajumbe wenzake kutoka mkoani Songwe imeonyesha ni kama moyoni alikuwa anajutia ni kwanini alipoteza Muda wake kukaa CHADEMA.Maana tangia ameingia CCM amebadilika sana na kuonekana sasa ni kiongozi.tofauti na alivyo kuwa uhamishoni kule CHADEMA.
Kwa hakika CCM ni chama kiongozi Barani Afrika, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM na kamwe huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na Itaendelea kuongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.