Mabus Ya CCM yawa Kivutio Barabarani. David Silinde atabasamu njia nzima na kujutia kupoteza muda wake CHADEMA

Mabus Ya CCM yawa Kivutio Barabarani. David Silinde atabasamu njia nzima na kujutia kupoteza muda wake CHADEMA

With due respect binafsi simpendi Mh. David Silinde. Akiwa Naibu Waziri enzi za Mwamba Magufuli aliwahi kuja ofisi ninayofanyia kazi hapa Jijini Mwanza kwa ziara ya ukaguzi. Alikuwa very bold, very mbinafsi na very anti social. Pamoja na kwamba ni very junior kwangu kiumri na kwenye CCM maana mimi ni wa siku nyingi chamani, nilikuwa nampenda sana, lakini tangu siku ile hata akifa leo nitakunywa Konyagi bila kutoa chozi!
Si alikuwa anatimiza majukumu yake ndugu yangu.au ulitaka asitekeleze majukumu yake ya kufanya ukaguzi kwa sababu tu umemzidi Umri. Au umri ndio ulitaka iwe sababu ya kufumbia kila kitu kilicho kinyume na maelekezo na utaratibu mzima? Katika uongozi hakuna hizo habari za umri katika utekelezaji wa majukumu.
 
Huyo harudi tena, kwao Momba walimkataaa na hawamtaki akakimbilia kugombea Tunduma napo amshukuru Magufuli
Nani wa kumtoa Sasa pale Tunduma? Yule mjinga asiye na shule mda wote amefura kama kameza chura au? 😁😁

Momba alimuachia dada Condester.
 
Si alikuwa anatimiza majukumu yake ndugu yangu.au ulitaka asitekeleze majukumu yake ya kufanya ukaguzi kwa sababu tu umemzidi Umri. Au umri ndio ulitaka iwe sababu ya kufumbia kila kitu kilicho kinyume na maelekezo na utaratibu mzima? Katika uongozi hakuna hizo habari za umri katika utekelezaji wa majukumu.
Hujanielewa. Very sad!
 
Unaweza jiuliza kikao cha kupitisha budget ya kununua haya mabasi kilikaliwa na kina nani? Hii nchi ina ufujaji mkubwa sana wa fedha za umma kwa ajili ya siasa wakati hospitali hazina hata vipimo muhimu
Punguza ujinga,ukitaka kununua chupi ya mkeo Huwa mnaweka kikao Cha familia?
 
With due respect binafsi simpendi Mh. David Silinde. Akiwa Naibu Waziri enzi za Mwamba Magufuli aliwahi kuja ofisi ninayofanyia kazi hapa Jijini Mwanza kwa ziara ya ukaguzi. Alikuwa very bold, very mbinafsi na very anti social. Pamoja na kwamba ni very junior kwangu kiumri na kwenye CCM maana mimi ni wa siku nyingi chamani, nilikuwa nampenda sana, lakini tangu siku ile hata akifa leo nitakunywa Konyagi bila kutoa chozi!
💉💉💉
 
Huyo Silinde si ndio ile ID yake inafanya uchawa humu kwa kusaidiana na wewe.

Watu wa akili hizo mtasumbua wasiojitambua, yaani watu hawana maji vijijini nyie mnachukua pesa za walipa kodi kwenda kununua mabus.
Pesa ya chama haijawahi kuwa Kodi Yako na chama hakipangiwi matumizi.

Nyie wajinga wa huko chama Cha matapeli si.huwa mnakodi chopa?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio imeteke na kutawala maongezi ya wananchi wa rika na makundi mbalimbali.

Ukisimama na kuingia barabarani ni kijani ndio imepamba barabarani kwa magari mazuri na tulivu sana ya CCM. ambayo mtu ukiwa ndani ya magari hayo ni kama umepanda AirForce One ndege inayotumiwa na Rais wa Marekani.

Mheshimiwa David Silinde Mbunge wa Tunduma ameonekana kuwa mwenye tabasamu na furaha kubwa sana katika uso na paji la uso wake .pale alipokuwa ameingia na kukalia siti za gari hizo zenye ubora wa hali ya juu sana.

Akiwa na wajumbe wenzake kutoka mkoani Songwe imeonyesha ni kama moyoni alikuwa anajutia ni kwanini alipoteza Muda wake kukaa CHADEMA.Maana tangia ameingia CCM amebadilika sana na kuonekana sasa ni kiongozi.tofauti na alivyo kuwa uhamishoni kule CHADEMA.

Kwa hakika CCM ni chama kiongozi Barani Afrika, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM na kamwe huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na Itaendelea kuongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa Dunia.View attachment 3204727

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu, huyo Ndugu kama hangeingia Chadema, nakwapia hangepata nafasi hiyo. Aidha tambua kuwa hadi MAFANIKIO jua kuwa umepita katika njia mbalimbali.
 
Nani wa kumtoa Sasa pale Tunduma? Yule mjinga asiye na shule mda wote amefura kama kameza chura au? 😁😁

Momba alimuachia dada Condester.
Tunduma kamwe haiwezi kuongozwa na darasa la Nne.Mwakajoka sijui kuna vitu anatumia maana mimi huwa simuelewi yule jamaa maana utafikiri amejaa msongo wa mawazo muda wote na mihasira tu utafikiri mgonjwa
 
Mkuu, huyo Ndugu kama hangeingia Chadema, nakwapia hangepata nafasi hiyo. Aidha tambua kuwa hadi MAFANIKIO jua kuwa umepita katika njia mbalimbali.
Mungu akikupatia kibali na kukuinua kiuongozi unaweza kuwa kiongozi na kuonekana bila kujalisha eneo ulilopo.
 
Back
Top Bottom