Ni kiasi gani?
Rushku ni nini?
Yamejengwa na pesa zipi na yapo mangapi?
Hivi vilijengwa kwa pesa za walipa kodi 1970's na kuendelea pengine hukuwa umezaliwa tukuhadithie
Yamejengwa kutokana na mapato kutoka wapi na yako mangapi?
Zipo ngapi na zimejengwa kwa mapato kutoka wapi?
Ziko ngapi na zimejengwa na mapato kutoka wapi?
Magazeti, Radio, n.k vimerithiwa toka chama kimoja TANU hivyo tulipokuwa vijana ukizaliwa basi unakuwa ni mwanaTANU na unapofikisha umri wz kushiriki siasa ungepata kadi ya uanachama wa TANU huko na shughuli nyingine za chama pamoja na kodi za wananchi ndio zilianzisha hivyo vyombo kabla ya CCM kujimilikisha.