Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.

"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.

Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya kilimo, na wengine huishia kuajiriwa Serikalini kama Mabwana Shamba!

Huwa wanafanya kazi gani? Wanakaa tu ofisini?
Kwa nini wasiwe wanawatembelea wakulima mashambani?

Au, kuwa bwana shamba hakuhusiani na maisha ya shamba?
 
Wengi wao huwa wanaishi mikoani hasa wilaya za vijijini. Kama unaishi town sana huwezi kuwaona au kuwasikia.
 
Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.

"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.

Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya kilimo, na wengine huishia kuajiriwa Serikalini kama Mabwana Shamba!

Huwa wanafanya kazi gani? Wanakaa tu ofisini?
Kwa nini wasiwe wanawatembelea wakulima mashambani?

Au, kuwa bwana shamba hakuhusiani na maisha ya shamba?
Kwani vijijini hawako tena? Nadhani ni kwa sababu siku hizi pikipiki zinamilikiwa na kila mtu. Zamani ukiona mtu mwenye pikipiki basi ni bwana shamba au mifugo. Watu binafsi wenye pikipiki walikuwa wachache sana na wanajulikana wilaya nzima.
 
Wapo wachache sana wanaipenda kazi yao na wamekuwa mfano wa kuigwa ktk kufanya kilimo bora cha kisasa.
 
Wengi wanafanya ilimradi mwisho wa mwezi wapate mshahara tu basi.
Inavyoonekana kazi wengi hawaifurahii na kuipenda kama Walimu.
Wabadilishiwe majina!

Badala ya mabwana shamba, waitwe Meneja Kilimo.
 
Wanafanya biashara ya pembejeo vijijini huko.

Ukiona Kaduka kambolea na dawa za mashambani hapo kijijini kwenu ujue mmiliki wake ni bwana shamba
Nitajaribu kufanya utafiti usio rasmi.
 
Back
Top Bottom