GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Wengi wao huwa wanaishi mikoani hasa wilaya za vijijini. Kama unaishi town sana huwezi kuwaona au kuwasikia.Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.
"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.
Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya kilimo, na wengine huishia kuajiriwa Serikalini kama Mabwana Shamba!
Huwa wanafanya kazi gani? Wanakaa tu ofisini?
Kwa nini wasiwe wanawatembelea wakulima mashambani?
Au, kuwa bwana shamba hakuhusiani na maisha ya shamba?
Kwani vijijini hawako tena? Nadhani ni kwa sababu siku hizi pikipiki zinamilikiwa na kila mtu. Zamani ukiona mtu mwenye pikipiki basi ni bwana shamba au mifugo. Watu binafsi wenye pikipiki walikuwa wachache sana na wanajulikana wilaya nzima.Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.
"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.
Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya kilimo, na wengine huishia kuajiriwa Serikalini kama Mabwana Shamba!
Huwa wanafanya kazi gani? Wanakaa tu ofisini?
Kwa nini wasiwe wanawatembelea wakulima mashambani?
Au, kuwa bwana shamba hakuhusiani na maisha ya shamba?
Mimi nilikulia kijijini, lakini sijawahi kukutana nao, labda kama tulikutana bila kufahamu.Wengi wao huwa wanaishi mikoani hasa wilaya za vijijini. Kama unaishi town sana huwezi kuwaona au kuwasikia.
Wanafanya nini? Kazi zao zina tija? Namaanisha, matokea ya kazi zao yanaonekana?Wapo Vijijini kwenye mashamba.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kama hukuwa na shida nao, sidhani kama ungeweza kuwaona. Ila wapo.Mimi nilikulia kijijini, lakini sijawahi kukutana nao, labda kama tulikutana bila kufahamu.
Mpaka wanasomea fani hiyo basi tambua kuwa wanatija na wanamchango kwenye Sector ya Kilimo.Wanafanya nini? Kazi zao zina tija? Namaanisha, matokea ya kazi zao yanaonekana?
Matokeo yanaonekana ndio. Au kipimo chako kipo kwa namna Gani?Wanafanya nini? Kazi zao zina tija? Namaanisha, matokea ya kazi zao yanaonekana?
Sidhani kama ni mzigo! Mbona makampuni binafsi yanawaajiri wataalam wa kilimo na kuwatumia kwa manufaa?Hamna watu mizigo kama hawa,Serikali nayo imejitwisha tu hawa watu yaani
Kimsingi, ni yapi hasa majukumu yao?Mpaka wanasomea fani hiyo basi tambua kuwa wanatija na wanamchango kwenye Sector ya Kilimo.
Wanafanya biashara ya pembejeo vijijini huko.Mimi nilikulia kijijini, lakini sijawahi kukutana nao, labda kama tulikutana bila kufahamu.
Wabadilishiwe majina!Wengi wanafanya ilimradi mwisho wa mwezi wapate mshahara tu basi.
Inavyoonekana kazi wengi hawaifurahii na kuipenda kama Walimu.
Nitajaribu kufanya utafiti usio rasmi.Wanafanya biashara ya pembejeo vijijini huko.
Ukiona Kaduka kambolea na dawa za mashambani hapo kijijini kwenu ujue mmiliki wake ni bwana shamba