Mac Apple na Laptop nyingine zimewasili na ofa ya software ya exportation analysis

Mac Apple na Laptop nyingine zimewasili na ofa ya software ya exportation analysis

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina ya apple ,all in one ,zenye sifa zifuatazo;

1. Hazihitaji CPU ,hivyo unaokoa nafasi kwenye meza.

2. Hazihitaji moderm kupata Internet kwani zinakamata hotspot ya simu

3.Zinaokoa muda kwa kuwa mlango wa DVD/CD upo ubavuni mwa monitor (screen) na port ya flash ipo nyuma ya screen.
(Jionee Picha)
Screen size 20 inch
Processor 2.4ghz Duo core
Ram 2gb, zote zina Nvidia Graphics
Hdd 160gb
for Tsh.500,000 (Laki tano tu)

Pia tuna laptop zingine zenye Sifa: Hard disk 160GB, ram 4 gb,zinakaa na chaji masaa 3 ukiwa mbali na umeme, zinatumia wi-fi ya simu kupata internet, zina warranty ya mwaka mmoja. Bei 300,000 (Laki tatu tu).

HP yenye camera. Sifa: Hard disk 250GB, ram 4 gb,zinakaa na chaji masaa 3 ukiwa mbali na umeme, zinatumia wi-fi ya simu kupata internet, zina warranty ya mwaka mmoja. Bei 370,000 (Laki tatu na sabini elfu tu).

Tupo Kariakoo,mkabala na jengo la China Plaza.Pia unaletewa kwa Dar na tunatuma mikoani.Piga simu:0713-039875 au 0742 499 177

OFA YA KWA KILA COMPUTER

1.Online software kutoka International Trade Center(ITC),Uswizi iitwayo Trade Map inayokuwezesha kujua taarifa muhimu kabla hujauza bidhaa zako nje ya nchi (exportation) ikiwemo kujua soko(nchi) lipi linavutia zaidi kwa Bei ya bidhaa, mawasiliano ya makampuni husika, trend ya ukuaji wa soko, demand ya bidhaa yako, Rank ya nchi zote kwa urahisi wa kufanya biashara, umbali na tariffs.

2.Software ya kukuwezesha kuandaa ripoti ya data za miaka 50 au zaidi na graph zake huku ukitumia muda mfupi iitwayo E-Views

Vitabu vinne vya ujasiriamali bure kwa mteja, navyo Ni:
1. Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao yote,

2. Tengeneza sabuni ya mche bila kutumia mashine
3. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku kumi (10) na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga)
4. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti
Piga simu:0713-039 875 au 0742- 499 177
2097277_WhatsApp_Image_2019-06-19_at_17.25.43.jpeg
2097278_WhatsApp_Image_2019-06-19_at_17.25.431.jpeg
2097279_WhatsApp_Image_2019-06-20_at_13.34.36.jpeg
 

Attachments

  • 2097340_WhatsApp_Image_2019-05-04_at_10.08.00.jpeg
    2097340_WhatsApp_Image_2019-05-04_at_10.08.00.jpeg
    45.4 KB · Views: 4
  • 2097341_WhatsApp_Image_2019-05-04_at_10.08.001.jpeg
    2097341_WhatsApp_Image_2019-05-04_at_10.08.001.jpeg
    32 KB · Views: 4
  • lenovo 2.PNG
    lenovo 2.PNG
    13.5 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2020-09-10 at 15.29.15 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-10 at 15.29.15 (1).jpeg
    40.6 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2020-09-10 at 15.29.15.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-10 at 15.29.15.jpeg
    40.7 KB · Views: 4
  • lenovo 1.PNG
    lenovo 1.PNG
    19.7 KB · Views: 4
  • lenovo 2.PNG
    lenovo 2.PNG
    13.5 KB · Views: 4
Brand nyingine tofauti na apple all in one mnazo?
 
Hiyo ya laki tatu, chukua laki moja na ishirini!!!
 
HP bei gan.?
HP yenye camera. Sifa: Hard disk 250GB, ram 4 gb,zinakaa na chaji masaa 3 ukiwa mbali na umeme, zinatumia wi-fi ya simu kupata internet, zina warranty ya mwaka mmoja. Bei 370,000 (Laki tatu na sabini elfu tu).
WhatsApp Image 2020-09-10 at 15.29.15.jpeg
 
Back
Top Bottom