Mac PC's fore sale!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
2,661
Reaction score
1,267
[


Ndugu wadau wa JF kama kuna yeyote anayehitaji apple machines,zipo mpya kutoka UK,za kisasa with wireless mouse & keyboard.Kwa mawasiliano zaidi piga No:0713-535430,0787-535430 au 0774-535430!!
 
...Kwa picha nne ulizobandika hapo ungeweza kuweka picha bora zaidi zinazoonyesha zilivyo computer unazouza e.g Monitors, Keyboard na kadhalika. Hapo mi naona ka-screen tu na maandishi ambayo sijui ndio yapo katika hako ka-screen?
 
...Kwa picha nne ulizobandika hapo ungeweza kuweka picha bora zaidi zinazoonyesha zilivyo computer unazouza e.g Monitors, Keyboard na kadhalika. Hapo mi naona ka-screen tu na maandishi ambayo sijui ndio yapo katika hako ka-screen ?
Hiyo ndiyo iMac mzee, kama ameshasema MPYA hawezi kukuuzia bila keyboard na mouse (KeyBoard pekee unaweza lipa 150,000!!). Anatakiwa kuweka bei tu! Nadhani haitapungua 2M!
 
Bei yake ni $2300,lkn pungufu maelewano!!!
 
You buy the same machine in Dar for $ 1500 - $1700 pale seacliff village na shoppers house, wakuu muwe mnaenda nyumbani at least mara moja kwa two years kupata updates.
 
You buy the same machine in Dar for $ 1500 - $1700 pale seacliff village na shoppers house, wakuu muwe mnaenda nyumbani at least mara moja kwa two years kupata updates.
Baelezee bandugu,wanafikiri huenda wabongo ni hamnazo,siku hizi Bongo ni kama majuu vile hakuna anayedanganyika,kila kitu kipo hapa hapa Bongo ,ni pesa yako tu.Ni kweli kama watu mko majuu jaribuni kuulizia kwa jamaa zenu hali halisi ya mambo yanavyoenda hapa Bongo kwa wala vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…