mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani si uweke na specs zake na bei yake,sasa mpaka tukupigie simu?ukisema bei yake na specs zake sio dhambi[View attachment 15018View attachment 15017View attachment 15018View attachment 15017
Ndugu wadau wa JF kama kuna yeyote anayehitaji apple machines,zipo mpya kutoka UK,za kisasa with wireless mouse & keyboard.Kwa mawasiliano zaidi piga No:0713-535430,0787-535430 au 0774-535430!!
Ah nimeona specs zake taja bei[View attachment 15018View attachment 15017View attachment 15018View attachment 15017
Ndugu wadau wa JF kama kuna yeyote anayehitaji apple machines,zipo mpya kutoka UK,za kisasa with wireless mouse & keyboard.Kwa mawasiliano zaidi piga No:0713-535430,0787-535430 au 0774-535430!!
Hiyo ndiyo iMac mzee, kama ameshasema MPYA hawezi kukuuzia bila keyboard na mouse (KeyBoard pekee unaweza lipa 150,000!!). Anatakiwa kuweka bei tu! Nadhani haitapungua 2M!...Kwa picha nne ulizobandika hapo ungeweza kuweka picha bora zaidi zinazoonyesha zilivyo computer unazouza e.g Monitors, Keyboard na kadhalika. Hapo mi naona ka-screen tu na maandishi ambayo sijui ndio yapo katika hako ka-screen ?
We bwegebwege, unatakauuziwe pesangapi? 500,000/=!:wink2:You are not serious!!
We bwegebwege, unatakauuziwe pesangapi? 500,000/=!:wink2:
Jina lenyewe bwegebwege unategemea nini hapo?mkuu msamehe bure lada anadhani mac ni kama compaq au Acer
lol!Jina lenyewe bwegebwege unategemea nini hapo?
Baelezee bandugu,wanafikiri huenda wabongo ni hamnazo,siku hizi Bongo ni kama majuu vile hakuna anayedanganyika,kila kitu kipo hapa hapa Bongo ,ni pesa yako tu.Ni kweli kama watu mko majuu jaribuni kuulizia kwa jamaa zenu hali halisi ya mambo yanavyoenda hapa Bongo kwa wala vumbiYou buy the same machine in Dar for $ 1500 - $1700 pale seacliff village na shoppers house, wakuu muwe mnaenda nyumbani at least mara moja kwa two years kupata updates.