Mac Voice ameanza kuweka rekodi za kutisha kwenye mauzo

Mac Voice ameanza kuweka rekodi za kutisha kwenye mauzo

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
IMG_20211001_165216.jpg

Siku chache tu baada ya kutambulishwa... msanii mwenye talent ya kushangaza aitwae Mac Voice kutoka kampuni ya muziki ya Nextlevel, ameanza kuandika rekodi nzuri kwenye mauzo.

EP yake ya my voice imeshapiga streams laki 5 ndani ya muda mfupi sana.

Hapa Rayvanny alilamba dume.
 
Back
Top Bottom