Pwani kibaha ila nakuleteaNafikiri wakti umekaribia.Iko mkoa gani?Ooh Mkoa wa Pwani?
swala ni ubora boss, unaweza kununua ya sasa ila ubora haulinganiMiaka 12 iliyopita
Hapana bana kwa apple products hapana.swala ni ubora boss, unaweza kununua ya sasa ila ubora haulingani
Hapana nn boss fungukaa wala usijali kwasababu unataka kitu current milioni 2 au moja nanusu uwezo huna.Hapana bana kwa apple products hapana.
Ila utapata mteja
Hata kama hiyo bei yako hapana aisee ila utapata wakununuaHapana nn boss fungukaa wala usijali kwasababu unataka kitu current milioni 2 au moja nanusu uwezo huna.
Pole sana boss ngoja nikuache labda hujui vituHata kama hiyo bei yako hapana aisee ila utapata wakununua
Asikutishe Boss,Kwanza kabisa kwa hapa bongo wanaonunua mashine ambazo ni current additions wengi ni wale ambao wano uwezo wa kifedha lakini kwa upande wa utumiaji ni novice au hata hawatumii ipasavayo.Wale ambao wnatumi ipasavyo wengi uwezo wao wa kiuchumi ni wa kununua mashine ya 10 years au wakijaitahidi 5 years ago.Hapana nn boss fungukaa wala usijali kwasababu unataka kitu current milioni 2 au moja nanusu uwezo huna.
Umeongea vizuri sana mkuu tena. Mtu anataka current ambayo current ya mwaka jana mwaka juzi 3m wakati maisha yetu ya kuunga uunga. Sawa hii ya muda ila kazi zooooooote za mtanzania inafanya na bado ukiweka juu ya meza mtu anashtuka kabisa. Picha tu zinaongea hapo. Anywa nashkuru kwa elimuAsikutishe Boss,Kwanza kabisa kwa hapa bongo wanaonunua mashine ambazo ni current additions wengi ni wale ambao wano uwezo wa kifedha lakini kwa upande wa utumiaji ni novice au hata hawatumii ipasavayo.Wale ambao wnatumi ipasavyo wengi uwezo wao wa kiuchumi ni wa kununua mashine ya 10 years au wakijaitahidi 5 years ago.
Watu wengi wanatumia mostly old machines nazifanyia upgrades ndogo ndogo na kuweka latest OS.
Wabongo wengi kitu ambacho wanaweza kununua latest labda Tecno na Infinix na Itel hata kwa upande wa Magari unaletewa gari iliyotoka 10 years ago unaambiwa latest.Au unapewe gari namba E ila ya mwaka 2000 na kwa sbb namba ni E basi unashangaa kuna mjuba anasema ni latest.
Asikutishe Boss,Kwanza kabisa kwa hapa bongo wanaonunua mashine ambazo ni current additions wengi ni wale ambao wano uwezo wa kifedha lakini kwa upande wa utumiaji ni novice au hata hawatumii ipasavayo.Wale ambao wnatumi ipasavyo wengi uwezo wao wa kiuchumi ni wa kununua mashine ya 10 years au wakijaitahidi 5 years ago.
Watu wengi wanatumia mostly old machines nazifanyia upgrades ndogo ndogo na kuweka latest OS.
Wabongo wengi kitu ambacho wanaweza kununua latest labda Tecno na Infinix na Itel hata kwa upande wa Magari unaletewa gari iliyotoka 10 years ago unaambiwa latest.Au unapewe gari namba E ila ya mwaka 2000 na kwa sbb namba ni E basi unashangaa kuna mjuba anasema ni latest.
Mimi ninayo inch 13 slim ya 2020 naiuza 2M (Milioni 2)
Kama utaipenda tunaweza badilishana na utaongeza 1M
Storage 1TB
Memory 16GBView attachment 2620928