INAUZWA Macbook nauza bei rahisi sana

INAUZWA Macbook nauza bei rahisi sana

mwaega

Senior Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
195
Reaction score
254
Nimali yangu halali tunaandikishiana hata kituo cha polisi
Ukitaka njoo uchukulie nyumbani.

Ni nzima haina kasoro yeyote nakupa warranty mwaka mzima.
Betri inakaa na chaji kutwa nzima hata ukiangalia movie
Sifa zake
MacOS high sierra
Ya mwaka 2011
Pocessor....2.3 GHz
Core......i5
Memory (Ram).. 16GB
DDR3
Storage .... GB 512

Bei 640,000/=

Namba
0712583157
0712583157 WhatsApp
Nipo kibaha ila popote utaipata kwa urahisi sana.

FB_IMG_1683954929463.jpg
FB_IMG_1683954921997.jpg
FB_IMG_1683954914092.jpg
 
Hapana bana kwa apple products hapana.
Ila utapata mteja
Hapana nn boss fungukaa wala usijali kwasababu unataka kitu current milioni 2 au moja nanusu uwezo huna.
 
Hata kama hiyo bei yako hapana aisee ila utapata wakununua
 
Hapana nn boss fungukaa wala usijali kwasababu unataka kitu current milioni 2 au moja nanusu uwezo huna.
Asikutishe Boss,Kwanza kabisa kwa hapa bongo wanaonunua mashine ambazo ni current additions wengi ni wale ambao wano uwezo wa kifedha lakini kwa upande wa utumiaji ni novice au hata hawatumii ipasavayo.Wale ambao wnatumi ipasavyo wengi uwezo wao wa kiuchumi ni wa kununua mashine ya 10 years au wakijaitahidi 5 years ago.

Watu wengi wanatumia mostly old machines nazifanyia upgrades ndogo ndogo na kuweka latest OS.

Wabongo wengi kitu ambacho wanaweza kununua latest labda Tecno na Infinix na Itel hata kwa upande wa Magari unaletewa gari iliyotoka 10 years ago unaambiwa latest.Au unapewe gari namba E ila ya mwaka 2000 na kwa sbb namba ni E basi unashangaa kuna mjuba anasema ni latest.
 
Umeongea vizuri sana mkuu tena. Mtu anataka current ambayo current ya mwaka jana mwaka juzi 3m wakati maisha yetu ya kuunga uunga. Sawa hii ya muda ila kazi zooooooote za mtanzania inafanya na bado ukiweka juu ya meza mtu anashtuka kabisa. Picha tu zinaongea hapo. Anywa nashkuru kwa elimu
 
Asikutishe Boss,Kwanza kabisa kwa hapa bongo wanaonunua mashine ambazo ni current additions wengi ni wale ambao wano uwezo wa kifedha lakini kwa upande wa utumiaji ni novice au hata hawatumii ipasavayo.Wale ambao wnatumi ipasavyo wengi uwezo wao wa kiuchumi ni wa kununua mashine ya 10 years au wakijaitahidi 5 years ago.

Watu wengi wanatumia mostly old machines nazifanyia upgrades ndogo ndogo na kuweka latest OS.

Wabongo wengi kitu ambacho wanaweza kununua latest labda Tecno na Infinix na Itel hata kwa upande wa Magari unaletewa gari iliyotoka 10 years ago unaambiwa latest.Au unapewe gari namba E ila ya mwaka 2000 na kwa sbb namba ni E basi unashangaa kuna mjuba anasema ni latest.

Mie so mteja Ila hii comment imenifanya nicomment pia, yeah ofcz well said mkuu
 
Mimi ninayo inch 13 slim ya 2020 naiuza 2M (Milioni 2)
Kama utaipenda tunaweza badilishana na utaongeza 1M
Storage 1TB
Memory 16GB
IMG_20230511_174116_878~2.jpg
 
Back
Top Bottom