Maccm mkoje mbona hamambiliki?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
472
Reaction score
111
Hawa maccm wakoje? hivi kilio cha watz kwa miaka mingi tunataka katiba mpya wanajifanya hawakijui,kilio cha watz wengi mchakato hauko sawa wamefumba masikio kwa kisingizio eti wabunge wanawakilisha wanachi kila mmoja anajua wabunge wa ccm wanavyoburuzwa na uchama.....mnatutakia nini watanzania?
 
Umetoka kupumuliwa ukaja, rudi ukaoge kwanza.
 
Kijana acha kupost kama -------- asiyejua anacho kifanya kama una hoja kaoge ulale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…