RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 111
Hawa maccm wakoje? hivi kilio cha watz kwa miaka mingi tunataka katiba mpya wanajifanya hawakijui,kilio cha watz wengi mchakato hauko sawa wamefumba masikio kwa kisingizio eti wabunge wanawakilisha wanachi kila mmoja anajua wabunge wa ccm wanavyoburuzwa na uchama.....mnatutakia nini watanzania?