Macelebret na Blogs

Macelebret na Blogs

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Mambo vipi jaman wanajamvini hivi kwanini macelebret wengi wa bongo especially wakina dada wanapenda kufungua blogs halafu vitu wanavyoweka unakuta ni mambo ya ujinga ujinga tu. Hv hao wanao authorise hizo blogs ni wakina nani au mtu tu anacreate mwenyewe? yaaaaaan kila siku mara huyu kafungua mara yule kafungua ukiangalia unadhani labda yeye yupo tofauti na wenzie kumbe ni muendelezo wa ujinga. Au mie mshamba kwa kila anaekuwa maarufu lazima awe na blog>
 
kweli bwana nimeona ile ya yule sinta wa juma nature sijui alikua yaanii kafungua halafu kajichubua huyo nikajuuliza huyu mrembo mpya n nani kumbe yaleyale mabudege yetu
Mambo vipi jaman wanajamvini hivi kwanini macelebret wengi wa bongo especially wakina dada wanapenda kufungua blogs halafu vitu wanavyoweka unakuta ni mambo ya ujinga ujinga tu. Hv hao wanao authorise hizo blogs ni wakina nani au mtu tu anacreate mwenyewe? yaaaaaan kila siku mara huyu kafungua mara yule kafungua ukiangalia unadhani labda yeye yupo tofauti na wenzie kumbe ni muendelezo wa ujinga. Au mie mshamba kwa kila anaekuwa maarufu lazima awe na blog>
 
mfanyaji umenichekesha kweli, kweli ni ma budege hahahaaaa
 
Back
Top Bottom