Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

Kwa utafiti huu unaonekana una PHD kabisa ya hayo masuala!
 
Pesa ndogo sana
Mtu anajidhalilisha kwa dola 1200 ana act scene ya ushoga, sawa na Tsh. 2.5mil

https://jamii.app/JFUserGuide it! Nilijua wanalipwa mabilion
 
Kweli watu noma mnawajua mpaka wacheza porn wastaafu kama mimi ninavyojua wacheza mpira dah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kodi nyingi inapotea hapa bongo sekta hii, sijui kwanini Serikali haijiongezi ipate vyanzo vipya vya mapato badala ya kutuvunja migongo wafanyabiashara na wafanyakazi, biashara ajira kwa vijana na watu kupata burudani?
 
Yaani PORN INDUSTRY itengeneze pesa nyingi kuliko NBA hivi unaifahamu NBA wewe kweli!???

sio nba tu kuna major league mpira wa marekan na NFL mchezo ambao naeza kusema una nguvu USA kama sio sawa basi ni zaidi ya nba zote ukijumlisha havifikii mapato ya porn industry kwa mwaka...na hapo sio sehem zote USA ni legal kushoot porn kuna majimbo hayaruhisiwi
imagine wakiruhusu USA nzima ingekuaje??
 
Hapo mkuu umenena,
Maana porn videos zinashambulia ubongo na kumfanya mtazamaji kuwa TEJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…