Mtengwa ,sitype hivi kama kiwakatisha watu tamaa au kuwafanya waendelee na uraibu wa kuangalia picha za ngono au pornography, bali keleza ukweli wa watu kujinasua kutoka kwenye huu mtego, umewanasa wengi, inawezekana hata wewe pia umewahi kunaswa au kuwemo ndani kwa hali ilivyo sasa duniani kama uangalia hizi picha pekee kungepelekea watu kwenda motoni basi ni hatari sana wangepona wachache mno lakini maombi pekee hayatoshi hapa, kumbuka aliyetengeneza alifocus zaid kwenye psychology attack,kushambulia afya ya ubongo au akili,sio kila kitu kinatatuliwa na maombi vingine ni therapy, hivyo hatua ya kwanza ni kutengeneza platform ya kuimarisha ubongo wa mtu kuweza kupambana na dhamira au viamsho vya picha za ngono, akili ikisha komaa, tuje kwenye maombi na kutengeneza uraibu mwingine mbadala tofauti na ngono fotoz, kumbuka "uraibu uponywa na uraibu" yaani "addiction healed by addition" hapo ndio centre ya ufahamu wote wa binadamu kuhusu addiction!!!