Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

Aisee... Kwa takwimu ni kuwa asilimia 99% ya watakao soma thread hii mwanzo mwisho huwa wanaangalia porn, na kwa kipindi fulani mwaka huu pia wameangalia porn....
Unaonekana una utaalamu wa kuandika statistical stories kiasi kuandika vitu kama hivi kitakwimu zaidi
 
Wanauza picha za utupu wao kwa hela ndogo sana ambayo huhitaji kuvua nguo kuipata.
 
3d8ee79d6887a64ee65cb63af357eb88.jpg
 
kuna jamaa mmoja alikua anakula shada anaweka porn room kwake anaongeza sabufa mpaka mwisho anafunga anaondoka zake....
Huyo alikuana vuta bangi na jua kali ndio maana
 
Umeona eee,tukatae ujinga huu,jipigie sekunde zako 10 kimbia utadumu sana ulingoni hadi uzeeni kuliko kumtimizia mtu dk 40 mpaka 60 ambae ukiharibikiwa anatafuta mwingine,
Tupia fasta chomoa fasta sepa fasta,hapa mwendo ubinafsi tu
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duu sio mchezo.

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app

 
Wengi hawana access na vifaa husika vya kuweza kuangalia porno ndiyo sababu Tanzania haimo.

Hapo kwenye list ya nchi zinazoongoza kuangalia porno mbona hamna Bongo!?? Huo utafiti utakua hewa!!

Nakumbuka kipindi nipo chuo, karibia chuo kizima kilikua kinakuja kuchukua hiyo mizigo kwangu..
 
*_Picha za uchi na za ngono hazikutengenezwa kwa lengo la kukupatia burudani wala kukupatia furaha; zilikusudiwa kwa lengo la kuwaangamiza kabisa watengenezaji na watazamaji wake. Humjaza mtu husika hashiki na tamaa kali ya kimapezi na humfanya aendelee kutaka kuangalia zaidi na zaidi. Matokeo yake ni kwamba huibuka ndani yake vitendo viovu sana na ukatili wa kimapenzi, huelekea katika njia ya uangamivu wa hakika kwa sababu ya kushindwa huku kujitawala._*
*_Watu wasio na akili hupenda kutazama picha na video hizi bila kujua kuwa wanaalika mapepo ya tamaa ya mwili ndani yao wenyewe. Ni njia kuu kabisa ya kualika mapepo katika maisha ya mtu. Wala mapepo hawahitaji kuwa na funguo za ziada kuingia ndani yako. Wanachohitaji tu kufanya ni kukushawishi uangalie picha zao chafu hata kama ni kwa kiasi kidogo tu, na hapo ndipo tayari umekuwa umewaalika katika maisha yako! Utaendelea zaidi na zaidi, na kwa wengi huwa jambo la kawaida; japo utatamani kujinasua, lakini hutakuwa na nguvu hizo kwa sababu ya kushikiliwa na nguvu za giza! Unapokaa mwenyewe kuangalia picha hizi, hauko peke yako!_*
*_Huwa umezungukwa na malaika waovu wakitazama udhaifu wako ili waendelee kukushambulia na kukushinikiza zaidi na hatimaye kukuangamiza kabisa. Wanapogundua udhaifu wako katika eneo ili, hapo ndipo huendelea kukushambulia na kufanya iwe ngumu sana kwako kushinda. Ndiyo maana watu ambao wanajihusisha katika vitendo hivi, hata ingawa hufanya maamuzi ya mara kwa mara kuacha na kujiepusha nayo, hujikuta tu wamerudia dhambi ileile tena na tena!_*
*_Lakini habari njema ni kwamba, bado unaweza kushinda na kuutawala mwili wako vyema kwa uwezo wa Mungu! Anasema, “Mtiini Mungu; mpingeni Shetani, naye atawakimbia.” Kwa njia ya kumtegemea Yeye na kuwa na nidhamu ya maisha yako, kwa njia ya kufunga na kuomba, unaweza kuwa mshindi kabisa. Vinginevyo, mapepo hayo ya kishetani yatakuteka kabisa na kuwa kikwazo katika njia yako ili kukunasa, na kwa kweli utakuwa ukipuuzia mambo ya msingi ya kimaisha, na kila wakati utapenda kupoteza muda na rafiki wasiojali ili kuendekeza tamaa za mwili. Ndio maana maisha ya watu wengi, hasa vijana, pamoja na kuwa wana uwezo mkubwa sana wa kiakili, wana fedha, lakini maisha yao hayana maana—wanaishi bila kuridhika na wanatumikia mwili wao kwa ubinafsi, hadi wanapofikwa na mauti ya ghafla bila wao kujua, na huo ndio mwisho wa maisha yao!_* *_Wamepoteza nguvu, akili na ubora na manufaa yao wakati ambapo wangeweza kuwa watu wanaoheshimika na wenye kuleta faida na maendeleo bora katika jamii na taifa._*
*_Tunapaswa kutambua kuwa waigizaji na wale wanaojihusisha kuangalia picha na video za ngono hutumiwa na mashetani ili kujihusisha katika uovu na ufuska mkubwa sana uliopita kiasi huku wakidhalilisha na kufedhehesha miili yao. Wanaume waliooa ambao wametekwa na uraibu wa ponografia hujikuta kwamba ni vigumu sana kufanya mapenzi bora na wake zao, na kuridhika; vijana ambao hawajao pia hujihusisha katika vitendo vingine viovu zaidi kama vile kupiga punyeto, nk._*
*_Ni dhahiri kwamba madhara ya picha za ngono ni makubwa sana. Channel za televisheni, mitandao, magazeti na kadhalika, vinavyohusika na vitu hivi vina lengo moja tu la kuharibu kabisa maisha yako, na hatimaye kukuangamiza bila wewe kufahamu. Sehemu ya kubwa ya uovu duniani hutokana na kujihusisha na vitendo hivi. Ni hatari vilevile kuangalia picha na mikanda au video za ngono hata kama umeoa au hata kama uko na mkeo. Mungu kamwe hawezi kuruhusu machukizo hayo ya kishetani kwa sababu anajua huangamiza moja kwa moja uhusiano bora wa kimapenzi kati yenu, huvuruga akili na kuharibu na kuangamiza maisha yako bila wewe kujua. Hukufanya uwaone jinsi ya kike kama vyombo vya ngono! Na mbaya zaidi, ni dhambi kuu dhidi Yake._*
*_Kwa hiyo wapendwa hebu fanya uamuzi wa dhati tangu sana kwamba unahitaji kukombolewa kutoka katika picha na video za ngono, wakati huu ambapo bado ungali na nafasi ya kutubu na kufanya mabadiliko, kabla maisha yako hayajaangamizwa. Baadhi ya watu huthubutu kuingiza picha chafu hata kwenye mitandao ya kijamii. Usifungue video hizi! Kwenye mtandao wa WhatsApp zima settings za autodownload ili picha au video zikiingia zisiweze kupakuliwa moja kwa moja. Mtahadharishe mhusika juu ya madhara yake. Wabloku watu wa namna hiyo kwa sababu hawakutakii mema na wanakupeleka jehanamu! Waonye vijana na wapendwa wanaoelekea katika hatari hii bila kujua. Jihusishe katika mambo mema yanayojenga akili na kuleta tija katika maisha yako._*
*_Mungu anatuambia leo: “5 Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; 6 kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu. 7 Katika hayo ninyi nanyi mlitembea zamani, mlipoishi katika hayo. 8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. 9 Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; 10 mkivaa utu mpya, unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa na mfano Wake Yeye aliyeuumba.”_*
*Wakolosai 3:5-10.*
*_“Wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.” Warumi 6:13._*
atleast kumekuwa na mtu aliyejaa ujasiri kuzungumza haya wazi.

hakutakuwa na ambaye atajitetea baada ya ujumbe huu naona umetosha kabisa mwenye fikra ya pili kubadili mara moja , siku zote kumbuka sio wewe unaifaidi porn bali porn inakufaidi wewe.
 
porno wanatuzuga sana, yapo mambo katika uhalisia hayawezekani kwa mfano kwenye scene za watu kuingiliwa kinyume na maumbile eti hakuna hata chembe ya choo kubwa inayoonekana kitu ambacho ni nadra sana rectaum haijawahi kuwa safi kwa 100% kama wanavyowaaminisha watu hata kama usafi ufanyike vipi. maana yake nini wao wanafanya maandalizi na kuhariri kwa kiwango kikubwa sana ila sisi wajinga twaiga bila kujua hali halisi. kwa mpenzi wa porno fanya uache si salama kwa afya ya mahusiano maana wengi tunaingia kwenye mapenzi na mentality ya vile tunavyoviona kwenye porno matokeo yake tunakuwa watu wa ajabu, yaani leo mabinti kunyonya uume si ajabu kwao, vijana chumvini kama wanakunywa maji vile, mabinti kugawa tigo wameshika kasi, wanaume kutwa kujiboost ili wawe na stamina kama porn star. satanic brainwashing at work be careful.
Wanafanya wax ya anal. Hata bongo wapo wanafanya wax hawatoi kinyesi.
 
Back
Top Bottom