Chova
JF-Expert Member
- Oct 21, 2018
- 267
- 364
Kwel mkuu yule alitakiwa kwanza akate tumbo na amentein shape yake tutampoteza sas hvVipi kalipata hayo sisi hayatuhusu. Al-muhimu dude ni Amazing kabisa
Tatizo lake ni unene unaomzidi kila siku unaanza kumfanya achushe, asipokua makini unaweza ukampoteza kwenye soko na yakamkuta kama yaliymkuta mwanadada mmoja hatari sana Skyy Black