Machache niliyogundua kuhusu wanawake kwenye mahusiano

10: Mwanamke akikutishia tuachane akakusanya virago vyake na kwenda kwao , kamwe usimbeleze na wala usimtake abaki. Mwache aende na akimaliza mwezi mmoja kwao achana nae kabisa huyo siyo wako
 
Mwanamke anaweza vumilia umaskini wa babake ,ila sio umaskini wa mume wake

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatar sana ana stress sio poa
Sasa unadhani kwa unavyonifanyia utakuwa huna tofauti na wanawake anaowasema mtoa mada, jaribu kulainisha moyo wako japo kidogo unipe nafasi my love
 
16.ushauri huu niliusikia kwa babu...
 
Mimi nakushauri uwe demu wangu utanishkuru baadae achana na wahuni watakutesa Kama mtoa mada, Mimi siko Kama yeye
Eenhe mkuu punguza speed basi πŸ˜… Mimi ni shangazi ntakuwaje demu? Mwenyewe Natafuta benten. 😜
 
Kama hupewi pesa unadharauliwa, mwanamke lazima apewe pesa hebu nitumie tigo pesa yako nikufanyie muamala faster mtoto mzuri
Inaonekana vikao vya wanaume wenzio wa JF huhudhurii, huwa unakuwa wapi?
 
Na iwe hivyo kwa wanao, binti zako, dada zako, mama aliyekuzaa, shangazi, bibi zako wote. Imeenda.
 
5: Usimwambie mwanamke huna hela, kama hela huna wewe mchenge tuu kadiri ujuavyo, ni mara mia ajue unazo hutaki kumpa kuliko ajue hauna ndugu yangu hapo utabakiwa na manyoya" Ufafanuzi tafadhali Mwanafalsafa wetu.
 
Ukimfumania mwanaume ata kama umemwona kwa macho yako, akipinga ajafanya kitu wewe amini tu , ikishindikana kabisa amini ulikua unaota na hakuna kitu.
Ahhhh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii itanisaidia eenhe?

Nitakuwa miss Delulu 🀣
 
Tusisikie vilio tena elimu tosha hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…