Katika harakati zangu za ubaharia , uvushaji, uchakataji na hata kuwanafikia hawa viumbe na muda mwingine kudate nao nimegundua mambo kadhaa
1: Usidate wala kufungamana na mwanamke anaye amini na kuheshimu viongozi wa dini, hao ndio ma bwana zake wa kwanza wewe ni wapili
2: Usimpende mwanamke wewe mjali alafu jukumu la kupenda awe nalo yeye
3: Usitake kuishi na mwanamke mwache yeye ndiye atake kuishi na wewe
4: Usishinde nyumbani na mwanamke hata kama siku hiyo huendi kazini
5: Usimwambie mwanamke huna hela, kama hela huna wewe mchenge tuu kadiri ujuavyo, ni mara mia ajue unazo hutaki kumpa kuliko ajue hauna ndugu yangu hapo utabakiwa na manyoya
6:Usimuamini mwanamke hata kidogo huyo ni adui yako muda wowote ana kulipua na ana kuua kabisa indirect ikibidi
7: Usiamini mimba aliyobeba mwanamke hata kama unahisi ni yako
8: Usimtendee mwanamke wema wala usimgaramikie kwa lengo la kua nae, usimuonee huruma mwanamke, wala usisikilize sauti za kilio chake na kuyathamini machozi yake
9: Mwanamke akiwa ndani kwako huyo ni wako , akitoka nje jua kabisa ni wa wenzako subiri atarudi mwenyewe asipo rudi tafuta mwingine
10: Mwanamke akikutishia tuachane akakusanya virago vyake na kwenda kwao , kamwe usimbeleze na wala usimtake abaki. Mwache aende na akimaliza mwezi mmoja kwao achana nae kabisa huyo siyo wako
11: Usimpigie mwanamke magoti unapo mvisha pete ya aina yeyote kamwe usimsujudie mwanamke, kama anataka kuolewa atapiga goti yeye hataki achama nae
12: Mwanamke anayejipost mitandaoni mara kwa mara huyo siyo wako achana nae
13: Usifungamane na mwanamke mwenye imani kali huyo kukuchinja hashindwi hana tofauti na Magaidi wa IS
14: Usifungamane na mwanamke ambaye hakusikilizi wala hakuagi anapoenda
15: Epuka kuwa na mwanamke msiri kwako ikibidi kimbia kabisa
16: Ili udumu na mwanamke ni lazima umpuuze kabisa kabisa, weka pamba masikioni na zuia kinywa chako kuwa chepesi kuongea na mikono yako kumpiga
17: Usiishi / kuoa mwanamke ambaye bado anawaza kusaidia kwao na muda mwingi ana wasikiliza ndugu zake
18: Usioe wala kudate na mwanamke ambaye yupo karibu sana na mama yake, hata kama baba yake alikufa/ waliachana
* Ili uishi na mwanamke kwa amani ndani ya ndoa/uchumba sugu lazima ujue hakuna tofauti na kuishi na kichaa ndani*