Kiukweli Auba na Leno ndo walitunyima ushindi. Leno alitoa mpira wa kizembe ikawa kona na ikazaa bao, Auba akakosa bao akiwa yeye na kipa dakika ya mwisho!
Halafu watu wanakuja hapa kulaumu wachezaji wengine! Kama wewe ni world class footballer halafu unafanya makosa ya kijinga kwenye mechi muhimu kama ile halafu baadae unahama na unasema timu haileti vikombe wakati wewe ndio umetukosesha ushindi. Tuheshimuni wachezajo wote wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app