Kiukweli Auba na Leno ndo walitunyima ushindi. Leno alitoa mpira wa kizembe ikawa kona na ikazaa bao, Auba akakosa bao akiwa yeye na kipa dakika ya mwisho!
Halafu watu wanakuja hapa kulaumu wachezaji wengine! Kama wewe ni world class footballer halafu unafanya makosa ya kijinga kwenye mechi muhimu kama ile halafu baadae unahama na unasema timu haileti vikombe wakati wewe ndio umetukosesha ushindi. Tuheshimuni wachezajo wote wadau.
Huyu Auba anaweza kuondoka msimu ujao,anajitahidi kufunga ila team haishindi.Tumpe muda Arteta aweke wachezaji anao wataka.Kuna wachezaji wanakuja vizuri hasa bwana mdogo Bukayo Saka, bora mwalimu ampange Martinel kuliko LACA.