Machache usiyoyajua kuhusu mapacha

Machache usiyoyajua kuhusu mapacha

Mapacha.jpg
 
Ktk mtiririko wako nambari 06 umejistukia kuanDika "Nisiulizwe swali Hapa"...
Sijajua ni ugumu wa ulichoandika ama ni uoga tu?!!..
Walizaliwa mapacha wakatengenishwa na kuishi sehemu tofauti kwa Kuasiliwa,walipooana ndipo wakajajua baadaye kwamba wao ni ndugu
Kwenye kuoana ilikua ni km COINCIDENCE TU,hakuna aliyejua kwa Hakika kama kuna undugu Baina yao,sema ni kitu cha kawaida kwa watu kutaka kujua HISTORIA za wenzi wao kuanzia maisha ya utoto mpk ktk umri wa kujitambua,hvyo ikawa Rahisi kwa wao kutambua NI NDUGU
 
naona umeiweka vizuri zaidi na naichukua hii kwa kuweka kumbukumbu sawa niseme tena asante sana
 
Ktk mtiririko wako nambari 06 umejistukia kuanDika "Nisiulizwe swali Hapa"...
Sijajua ni ugumu wa ulichoandika ama ni uoga tu?!!..
Walizaliwa mapacha wakatengenishwa na kuishi sehemu tofauti kwa Kuasiliwa,walipooana ndipo wakajajua baadaye kwamba wao ni ndugu
Kwenye kuoana ilikua ni km COINCIDENCE TU,hakuna aliyejua kwa Hakika kama kuna undugu Baina yao,sema ni kitu cha kawaida kwa watu kutaka kujua HISTORIA za wenzi wao kuanzia maisha ya utoto mpk ktk umri wa kujitambua,hvyo ikawa Rahisi kwa wao kutambua NI NDUGU
HAPO nisiulizwe nilijua maswali yatakua mengi kama vile iwapo walishajamiaaaaaaaaaaaanaaaa.....
 
HAPO nisiulizwe nilijua maswali yatakua mengi kama vile iwapo walishajamiaaaaaaaaaaaanaaaa.....
Mimi nauliza tu japo uliweka angalizo.
Walikuwa wamejamiiana? Pia watu wa namna hii endapo watapeana ujauzito huyo mtoto atazaliwa wa namna gani?
 
Yasemekana mapacha ni watu ambao hupendwa sana na jamii kwa muonekano wao pia.Ufuatao ni ukweli wa kushangaza kuhusu watoto mapacha
Mapacha.jpg

1. Yumkini Mapacha wanaweza kuzaliwa na Baba wawili tofauti iwapo mama atajamiiana na wanaume wawili tofauti akiwa kwenye kipindi cha kushika ujauzito (ovulation period) ......ingawa wanasayansi wanasema dadu yake ni mtoto 1 kwa watoto 400
1485405-980x.jpg

2. Uwezekano wa kuzaa watoto mapacha umeongezeka sana hadi kufikia 76% tangu 1980 hadi sasa na hasa kutokana na ukweli kwamba wanawake wengi kwa miaka ya karibuni wamekuwa wakishika ujauzito haliyakuwa umri umesogea na wengi wana uwezekano wa kupata mapacha iwapo watazaa katika umri wa miaka 30 na kuendelea (wanawake katika umri wa 30yrs wana uwezekano mkubwa kuzaa mapacha kuliko wanaume katika umri wa 20yrs).....sababu za wanawake zinaelezwa ni kutokana na kuzalisha homoni nyingi za 'kiraghbishi' katika umri huu na hasa wanapshika ujauzito katika umri wa miaka 35 (Follicle Stimulating Hormones). Ikumbukwe pia huu ndio umri wa ashki kisaikolojia na sababu ni hiyohiyo............oooopppppsssssss.......

3. Utafiti uliofanywa na Taasisi moja ya Lafudhi ( Institute of General Linguistics) umeonesha kwamba watoto mapacha hujifunza matamshi baina yao wenyewe kwa njia ya kubwabwaja (babbling) na zaidi ya 40% huunda lugha tashtiti kwa mawasiliano baina yao (privacy) wakingali wadogo (cryptophasia)

4. Mapacha wengi huakisi taswira kinzani baina yao wenyewe wiki 14 tu baada ya ujauzito, mathalani pacha mmoja anaweza kuwa na alama fulani ya kuzaiwa upande wa kushoto ilihali mwingine ikawa upande wa kulia ama mmoja akawa mashoto na mwingine akawa malia japo mashoto wana weledi mkubwa sana wa kufaragua kuliko malia. Utafiti unaonesha kwamba baada ya wiki 28 mapacha huanza hata kushikanashikana (sio ngumi) wangali tumboni.
1487108-980x.jpg

5. Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Utah kati ya mwaka ya 1800 hadi 1970 umeonesha kwamba watoto mapacha hurefusha maisha ya mama, yaano mama mwenye watoto mapacha ana uwezekano wa kuishi miaka mingi sana kuliko asiye na mapacha

6. Mapacha huanza kufumbatana na kufungama wiki 14 tu baada ya mimba kutungwa. Mwaka 2008 wanandoa maharimu huko Uingereza, Walizaliwa mapacha wakatengenishwa na kuishi sehemu tofauti kwa Kuasiliwa,walipooana ndipo wakajajua baadaye kwamba wao ni ndugu. Kwenye kuoana ilikua ni km COINCIDENCE TU,hakuna aliyejua kwa Hakika kama kuna undugu Baina yao,sema ni kitu cha kawaida kwa watu kutaka kujua HISTORIA za wenzi wao kuanzia maisha ya utoto mpk ktk umri wa kujitambua,hvyo ikawa Rahisi kwa wao kutambua NI NDUGU
Dhahiri shari ilibidi ndoa ya ibatilishwe (annulled) na mahakama .................(usiniulize maswali hapa)

7. Unadhani mapacha wawili wa kiume (identical male twins) wakioa mapacha wawili wa kike (identical female twins), watoto wao watakuaje kisheria?
1485994-980x.jpg

If a pair of identical male twins marry a pair of identical female twins, their children will legally be cousins but genetically be full siblings.

8. Mama ambaye amewahi kuwa na jumla ya watoto 69 kwa uzao wa tumbo lake, akiwa na umi wa miaka 40 tu tayari alikua na mapacha 16!!!. Mama huyu amefariki mwaka 2010 akiwa na miaka 93!!!

9. Kila mtu duniani ana kinasaba chake (DNA) ingawa ni tofauti kwa mapacha wa kulandana (Identical twins) kwani DNA ziko sawa bin sawia . Hata hivyo hutofautiana alama za vidole (finger print) ambazo ingawa hulandana wakati wakiwa kwenye kijusi (embryos) , alama hizo huachana baada tu ya kijusi kutengana

10. Jimbo la Massachusetts nchini Marekani ndilo linaloongoza kwa kuwa na mapacha wengi duniani, dadu ya mapacha huko ni 20% ilihali Nigeria ikiongoza kwa mapacha wa kulandana (ingawa Nigeria inaongoza kwa mengi pia ikiwamo 'usanii')

11. Uwezekano wa wanaume mapacha kuzaa watoto mapacha utategemea na uwezo wa mwanamke ikiwa anaweza kuzalisha mayai mawili KWA MKUPUO

12. 22% ya Mapacha ni mashoto ukilinganisha na 10% ya wasio mapacha duniani, ipo nadharia 'mizania' kwamba mazoea haya huanzia tumboni kutegemea na ......

13 Hii nimeipenda ya Viongozi wakuu wa nchi waliokua mapacha nchini Poland, Marehemu Lech Kaczynski (1949-2010) alikua pacha wa kulandana na Jaroslaw Kaczynski na wote wakichapa siasa.
0

Wakati Lech alikua Rais wa Poland tangu 2005 hadi 2010, Jaroslaw yeye alikua Wazii Mkuu wa Poland kutoka mwaka 2006 hadi 2007.
0

Yasemekana George W. Bush ndiye amewahi kuwa Raisi pekee duniani kuwa na mapacha

huu ndiyo utamu wa jf elimu kedekede,asante mkuu umeniongezea ufahamu katika jambo hili
 
Sijui na wamasai nao... Wanazaaga mapacha... [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
 
Back
Top Bottom