kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
1. Hii ni moja kati ya mechi bora kushuhudiwa katika ligi ya NBC msimu huu, Simba wamecheza vizuri na Kagera wamecheza vizuri pia.
2. Elie Mpanzu ni mtu, kama asipofanyiwa mambo ya kiswahili atatupa burudani tamu wapenda soka.
3. Fabrice Luamba Ngoma amezaliwa upya, yule aliyekua akicheza Raja Casablanca amerejea tena.
4. Che Fondor Malone hana mbadala Simba, Chamou ni mzito na ndio sababu ya Simba kuruhusu magoli mawili leo.
5. Kocha aangalie namna nzuri ya kumfanyia sub Debora Fernandez, Sub zake zitaigharimu timu, angalia Simba walivomilikiwa katikati baada ya yeye kutolewa.
6. Naendelea kutofautiana na wengi kuhusu Joshua Mutale 'budo' huyu anapitia kipindi kigumu ambacho ni kawaida kwenye kazi yoyote, sio mchezaji mbaya na hapaswi kuachwa.
7.Simba iliyocheza kipindi cha kwanza ikiongezewa vitu kidogo itatwaa kombe la Shirikisho.