Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.

2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.

3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba.

4. Kuna namna lionel ateba anaanza kukosa u serious, niliwahi kusema apunguze uzito.

5.Fadlu David ni bonge la kocha ila inatakiwa asaidiwe namna nzuri ya kufanya substitution.

6. Refarii wa leo ni kielelezo tosha cha namna mtu mweusi alivyo.

Pointi tisa kileleni

Simba nguvu moja.
 
Back
Top Bottom