Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.

2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.

3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba.

4. Kuna namna lionel ateba anaanza kukosa u serious, niliwahi kusema apunguze uzito.

5.Fadlu David ni bonge la kocha ila inatakiwa asaidiwe namna nzuri ya kufanya substitution.

6. Refarii wa leo ni kielelezo tosha cha namna mtu mweusi alivyo.

Pointi tisa kileleni
 
Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
 
Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub
First eleven ipi mnayoitaka?

Akiwa na first eleven mtaanza kulalamika kuwa anabagua wachezaji

Shida ya fadlu ipo kwenye sub huku kwingine nakupinga
 
Basi subilia kipindi kifupi kijacho utakuja kujua ni kocha ama laah!
 
1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.

2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.

3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba.

4. Kuna namna lionel ateba anaanza kukosa u serious, niliwahi kusema apunguze uzito.

5.Fadlu David ni bonge la kocha ila inatakiwa asaidiwe namna nzuri ya kufanya substitution.

6. Refarii wa leo ni kielelezo tosha cha namna mtu mweusi alivyo.

Pointi tisa kileleni
Vile Yanga wanasoma hii mada
rn.jpeg
 
Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
Pole chura
 
Kengold umeeenda Mbali hawa ni vibonde WA kundi sio kipimo sahihi kwa Simba ,hata kama wameshinda bado wajipange sana
 
Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
Yeye na saidi wa yanga tofauti yao ni ndogo sana saidi katoa sare na mazembe mbovu kashinda nyumbani kwa maamuzi ya fluku!
 
🚮🚮🚮 Saed ana muda Gani tokea apewe timu na uyo kilaza wenu ana muda Gani na timu
 
Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
ni mwendo wa rotation tu kam unaumia kalilie chooni wewe 🐸🐸🐸
 
Hicho kipindi kifupi kijacho kina maana gani wakati tunachongalia ni mechi zilizochezwa,hicho kipindi kijacho kasubirie wewe hatuwezi kujadili kitu ambacho bado hakijatokea
apeleke utabiri wa kijinga huko sisi ni mwendo wa rotation tuuu
 
Back
Top Bottom