kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.
2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.
3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba.
4. Kuna namna lionel ateba anaanza kukosa u serious, niliwahi kusema apunguze uzito.
5.Fadlu David ni bonge la kocha ila inatakiwa asaidiwe namna nzuri ya kufanya substitution.
6. Refarii wa leo ni kielelezo tosha cha namna mtu mweusi alivyo.
Pointi tisa kileleni
First eleven ipi mnayoitaka?Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub
Basi subilia kipindi kifupi kijacho utakuja kujua ni kocha ama laah!First eleven ipi mnayoitaka?
Akiwa na first eleven mtaanza kulalamika kuwa anabagua wachezaji
Shida ya fadlu ipo kwenye sub huku kwingine nakupinga
Vile Yanga wanasoma hii mada1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.
2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.
3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba.
4. Kuna namna lionel ateba anaanza kukosa u serious, niliwahi kusema apunguze uzito.
5.Fadlu David ni bonge la kocha ila inatakiwa asaidiwe namna nzuri ya kufanya substitution.
6. Refarii wa leo ni kielelezo tosha cha namna mtu mweusi alivyo.
Pointi tisa kileleni
Pole churaHapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
Hicho kipindi kifupi kijacho kina maana gani wakati tunachongalia ni mechi zilizochezwa,hicho kipindi kijacho kasubirie wewe hatuwezi kujadili kitu ambacho bado hakijatokeaBasi subilia kipindi kifupi kijacho utakuja kujua ni kocha ama laah!
Kengold umeeenda Mbali hawa ni vibonde WA kundi sio kipimo sahihi kwa Simba ,hata kama wameshinda bado wajipange sanaHapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
Yeye na saidi wa yanga tofauti yao ni ndogo sana saidi katoa sare na mazembe mbovu kashinda nyumbani kwa maamuzi ya fluku!Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
🚮🚮🚮 Saed ana muda Gani tokea apewe timu na uyo kilaza wenu ana muda Gani na timuYeye na saidi wa yanga tofauti yao ni ndogo sana saidi katoa sare na mazembe mbovu kashinda nyumbani kwa maamuzi ya fluku!
Hapa nakuunga mkono4. Kuna namna lionel ateba anaanza kukosa u serious, niliwahi kusema apunguze uzito.
ni mwendo wa rotation tu kam unaumia kalilie chooni wewe 🐸🐸🐸Hapo namba 5 kwamba fadlu ni bonge la kocha napingana na wewe, kwanza iyo kengold ya Tunisia aliyocheza ni timu ambayo aijiwezi kwa lolote kiubora kwaiyo uwezi kumsifia kocha kwa mechi ya aina iyo,,uyu fadlu utakuja kumkataa muda si mrefu amna kocha pale,,kakaa na timu mda mrefu lakini mpaka sasa hana first eleven,,angalia sub zake,,
wivuuuuu na chuki kiujumla baki na point zako 2 nyumbu weweKengold umeeenda Mbali hawa ni vibonde WA kundi sio kipimo sahihi kwa Simba ,hata kama wameshinda bado wajipange sana
apeleke utabiri wa kijinga huko sisi ni mwendo wa rotation tuuuHicho kipindi kifupi kijacho kina maana gani wakati tunachongalia ni mechi zilizochezwa,hicho kipindi kijacho kasubirie wewe hatuwezi kujadili kitu ambacho bado hakijatokea
faul za kijinga tuuAisee namba 5 hiyo ni kweli kabisa Refa kawabeba kabisa
ametunyima tuta mjinga yuleAisee namba 5 hiyo ni kweli kabisa Refa kawabeba kabisa