K Kumfumaster97 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2024 Posts 354 Reaction score 372 Jan 6, 2025 #21 kalisheshe said: First eleven ipi mnayoitaka? Akiwa na first eleven mtaanza kulalamika kuwa anabagua wachezaji Shida ya fadlu ipo kwenye sub huku kwingine nakupinga Click to expand... huyo Makavuli apeleke makavuzi huko hatutaki ushauri uliojaa chukiiii
kalisheshe said: First eleven ipi mnayoitaka? Akiwa na first eleven mtaanza kulalamika kuwa anabagua wachezaji Shida ya fadlu ipo kwenye sub huku kwingine nakupinga Click to expand... huyo Makavuli apeleke makavuzi huko hatutaki ushauri uliojaa chukiiii
M Matemba3814 Member Joined Nov 9, 2023 Posts 87 Reaction score 138 Jan 6, 2025 #23 Hivi hii timu unaijua unaiita Ken gold?hili kombe kabeba sana, kwenye kundi la yanga ni Mazembe pekee aliwahi kuwa bingwa
Hivi hii timu unaijua unaiita Ken gold?hili kombe kabeba sana, kwenye kundi la yanga ni Mazembe pekee aliwahi kuwa bingwa
Voltaire JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 1,231 Reaction score 1,189 Jan 6, 2025 #24 Second half mara nyingi sana na observe intensity inashuka sana ,Simba anaanza kupoteana dk ya 70 kwenda mbele,hili sijui kama mmeleiona?
Second half mara nyingi sana na observe intensity inashuka sana ,Simba anaanza kupoteana dk ya 70 kwenda mbele,hili sijui kama mmeleiona?