kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi.
2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili.
3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba inapata ugumu wa kutengeneza nafasi anapokuwepo uwanjani napendekeza apangiwe majukumu mengine ila sio kuachwa.
4. Wachezaji wazawa Yusuph Kagoma, Muzamiru, Kijili, Chasambi, na Awesu wamecheza kikubwa mno leo
5. Pressure ya hatrick imemtoa mchezoni Leonel Atteba akawa anakosa nafasi za wazi, ushauri - apunguze pressure na papara kwa ukubwa wake haendani na hizo pressure.
6. Kama kuna kosa Simba watalifanya kipindi hiki ni kusikiliza kelele za watu mitandaoni na kumuacha Joshua Mutale, ushauri-avumiliwe mpaka dirisha kubwa, naamini bado ni mchezaji mzuri.
7. Kibu Denis ni mchezaji asietabirika, leo atakufurahisha kesho utamkataa.
8. Nimemkubali na ninaendelea kumkubali Fadlu Davis kwa rotation anayoifanya.
Hongera kwa point tatu na ushindi mwingine.