GE2025 Machafuko 29 Oktoba 2025 siku ya Uchaguzi, Wahusika wawajibike!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Yericko Nyerere

Platinum Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,519
Machafuko ya siku ya Uchaguzi lazima yapatiwe tiba ya kudumu.

Yeyote aliyehusika na machafuko haya kwa namna yoyote lazima awajibike, iwe kwa kuchochea mitandaoni au kwa kutenda moja kwa moja, basi hatua kali zichukuliwe. Tunayo nchi moja tu na uhai ni mmoja tu.

Haki ya kila mmoja ipatikane! Poleni sana ndugu zetu mliofikwa na majanga kwa kuharibiwa mali za umma na mali za watu binafsi ama kujeruhiwa ama maafa zaidi!

Ili tuyatazame mambo haya kwa wigo mpana na kwa akili huru, tusijifungie katika eneo moja tu box la demokrasia na haki tu, lazima tujifunze kutazama nyuma ya pazia. Tuwatazame wakubwa duniani Magharibi na Mashariki, Ni wazi wakubwa hawa wako kwenye vita vya uchumi, siku za nyuma usharika wa Dar na Moscow ulipokomaa niliwahi kutahadharisha nikihoji je tuko tayari kama taifa kucheza Disco la Washington na Brussels? Nilikuwa nikisema hayo nikifahamu wazi kwamba mataifa mengi yaliyoshibisha usharika na Moscow, tawala zao zimetingishwa na nyingine kudondoshwa kabisa. Je tunatumika kama uwanja wa vita vya Uranium na vita vya raslimali zingine adhimu duniani dhidi ya wakubwa? Tuamke tukatae kwa nguvu zote.

Swali la msingi tunalotakiwa kujiuliza, Je tulijiandaa vya kutosha kukabila uchochezi wa Ulaya na Marekani tulipoamua kuingia mikataba muhimu ya nyuklia na Urusi? Tulijiandaa kikamilifu kukabili mikikimikiki ya Marekani na Ulaya pale tulipoamua kuongeza ushirika wetu na Moscow baada ya mageuzi ya Sera za Kigeni za Urusi hapo 2023. Leo Urusi na Uchina walikuwepo kama mashuhuda wa Kiapo cha Rais wa Tanzania. Unafikiri kwa nini Marekani na Nduguze hawakuhudhuria? Sikufundishi kufikiri.

Pamoja na matatizo mengi ya utawala wa kiimla wa ccm na serikali yake, pamoja na ukosefu wa haki na demokrasia nchini, Lakini, Hiki ndio kiini cha yote hayo, chini ya mgongo wa demokrasia na haki nchini ambavyo ni kweli na haki na wazi kabisa kwamba serikali ilipuuza maonyo ya haki na demokrasia nchini. Mali na utajiri wa Tanzania vinatungiza kwenye machafuko kwa vita ya Marekani na Urusi.

Nini kifanyike kama taifa huru, Kwanza turudi mezani, tuponyane makovu na majeraha yetu, tuzungumze mstakabali wa taifa letu, turejeshe upendo wa taifa letu, tujitazame nani anatuchochea tumemjua, na nani anachocheka tumejijua.

Hadi hapa leo tumeshinda vita kama taifa Huru, taifa limenusurika kuanguka na kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tumeumia, tumeumizwa, Tusimame imara tulilinde taifa letu tulunde Watu wetu kwa gharama yoyote!

Tupokee ushauri wa yeyote, Tukatae maelekezo ya yeyote.

Na Yericko Nyerere

IMG_0856.png
IMG_0855.jpeg
IMG_0854.jpeg
IMG_0854.jpeg
IMG_0853.png
 
View attachment 3496879View attachment 3496880View attachment 3496881View attachment 3496881View attachment 3496882
Licha ya huzuni nilionao nimejikuta nacheka tu 😁😁,

Umeandika nn sasa !?
 
Jasusi bamia unawinda teuzi kinguvu.
 
Next tunakutembelea nipange chawa
 
Umeandika upumbavu tu, unaleta nadharia mfu kabisa..zama hizi unasingizia mataifa makubwa ndio chanzo cha fujo na machafuko wakati dalili zote ziko wazi kabisa chanzo ni udhalimu, uporaji na uonevu wa watawala dhidi ya raia!
 
Back
Top Bottom