GE2025 Machafuko 29 Oktoba 2025 siku ya Uchaguzi, Wahusika wawajibike!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kibaraka
 
Jasusi hewa..
 
CCM wametengenezewa mtego na wameingia , na tusipeane moyo siyo muda mrefu Taifa lijiandae kukabiliana na wimbi la uharifu wa siraha (Marekani huwa haipotezi fursa)

Inaweza kuwa Marekani haikuwa imepanga kumtumia Mange ,lakini kupitia Mange Marekani inaweza kufanikiwa , na nadhani leo tumesikia taarifa za Mange kuwa amealetiwa na FBI kuwa watu washasign deal la kumtembeza .

Jiulize kwanini FBI wawe active sana kwa Mange ,yeye ndiyo raia Bora sana au kunanini nyuma yake?

Marekani ishamtazama Mange kama fursa .

CCM ingelikuwa wasikuvu tusingelifika huku .
 
Kunakipindi huyu dogo licha ya mapungufu yake ya hapa wa pale nilikuwa namtazama kwa sura chanya sana hasa kwenye eneo la ushehereshaji wa demokrasia .

Ile kule kujiamini kwake angeliongezea tu msimamo ilikuwa amejitengeneza kesho bora sana (naamini bado anayo nafasi ,ajitafakari .

Simshauri kurudi Chadema japo najua itakuwa ngumu kwake kupokelewa ,namsihi apunguze u_cartoon.

Hoja ya vita ya kiuchumi nikweli ipo ila haihusiani na hiki kilichotokea .

Tumefika tulipo kwasababu ya Taifa kuwekwa mikononi mwa wenye akili ndogo.

Huwezi kuendesha Taifa kwa kimazoea halafu usikutane na matukio ya namna hii .
 
Sema jamaa unajiahibisha sana
Anyway huko KIGAMBONI na wewe JASUSI umewasha VPN kuipata JF

Unajiita JASUSI halafu unategemea INTERNET iliyokuja kwa CABLE
ona sasa SOMEONE DECIDE TO PULL WIRE OUT na ukakosa INTERNET siku 6
hauna hata SAT internet ya bei nafuu halafu unajiita JASUSI
unayetegemea INTERNET ya serikali

Uloandika ni USHUZI ni vema ukabaki kimya tu au rudia tena kuangalia PICHA video kutoka sehemu mbalimbali uone UNYAMA Ulofanyika kisha uache kuleta PUMBA zako za kuokoteza mitandaoni ambapo wewe mwenyewe unaziita habari za kijasusi

MAREKANI kahusikaje na MAANDAMANO ungesema LISU haya LISU yupo JELA
HECHE mmemkamata HAKUKUWA NA KIONGOZI WA CHADEMA mtaani
wala chochote
Mara ngapi MBOWE aliitisha MAANDAMANO na watu hawakwenda 7bu walijua ni TAPERI kama wewe Aliyeangalia masilahi yake zaidi kuliko wananchi

utasema MANGE ndo analipwa na MAREKANI sio au utamtaja HILDA

sasa kama wewe kweli CHAUMA DAMU kijenge chama chako
sasa hivi tuone

Wewe ushatumika umepewa ELA subiri tena siku nyingine watakuita wakutumie TENA kisha wakudump
 

Attachments

  • FB_IMG_1746182051212.jpg
    16.3 KB · Views: 18
Wa kuwajibika wako madarakani kwa ushindi fake, mauaji, utekaji na ubakaji.
Tanzania haitakuwa the same, tena kwa ninyi CCM mtapata wakati mgumu sana.
 
Waanze na wewe kwanza na mamuluki wote waliokimbilia Chaumma maana nyie ndio chanzo cha yote haya. Mkamkimbilia kwenda kujiunga na Chaumma ili mumusupoort ccm, sasa kimewalamba.
Vyama vyote vya upinzani vilivyo shiriki kwenye uchaguzi ndio wamesababisha mauwaji ya watoto wasio na hatia. Kama nyie Yericko Nyerere na Chaumma yenu pia ndugu zenu wa vyama Vinginevyo, vinge- demand level playing field, ccm asinge kuwa namna, lakini mukawasaliti Watanzania na wote waliotangulia mbele za haki wakiwemo Mo Kiabao na Yule mawazo na wengineo. Hasira za Mungu zi juu yenu nyie Iskariots, muanze sasa kutubu kabla mwenyezi Mungu hajawapa kitu kuzito Kwa usaliti na urafi wenu wa madaraka na kumsaidia adui wa taifa letu - ccm…
 
Hatua za kudumu zichukuliwe kwa matapeli kama wewe hapo unaewarubuni watu na vijistori vyako vya kubumba vya kijasusi pamoja na kutumia vinaya jina la baba wa taifa
 
Msusi unaapishwa lini? Maana ulijiita mbunge anayesubiri kuapishwa
 
Ushakua zuzu mazima mzee, mmeshaamua kuwasingizia mabeberu while ukisikiliza madai ya wananchi ni tofaut kbs na mashudu uliyoandika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…