GE2025 Machafuko 29 Oktoba 2025 siku ya Uchaguzi, Wahusika wawajibike!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tapeli katika ubora wako
 
Uko sahiho kabisa. Ukiwa na viongozi wenye upeo mdogo form 4 failure always utafikiria usawa wa pua
 
Umeshinda kwa kura ngapi Jasusi?

Tunasikia Salumu Mwalimu naye kashinda Urais wa nchi Kusadikika?

Zito Kabwe kule Kigoma, kalinda kura mpaka alizokuwa nazo mkononi nazo zikaibiwa🤔
 
Wewe ni kipapa-tio, malaya wa bei ndogo. Zaidi una laana ya mama yako
 
Hahaha hata matope ni mchango na uzi wa kujaza server
 
Wewe Fala ni Bora ungekaa Tu kimya...
Nimezidi kukudharau kutokana na upumbavu wako kumbe kichwani kwako hakuna kitu kabisaa
 
Comrade, fanya tu ubadilishe hii ID yako! Kwa sababu wengi humu jukwaani kwa sasa wanakuona kama mjinga mmoja tu hivi, chawa, na tapeli wa mjini.

Kiufupi; you are good for nothing. Umeshatumika tayari, na hata sasa huna jipya.
 
kufikiri kwa aina hii ni upumbavu kabisa..makosa wafanye watawala halafu Mange ndio awe chanzo, Mange ameanza leo kusema mabaya inayofanya serikali dhidi ya watu..? FBI wanalinda raia wote walioko marekani bila kujali asili yao, kwa hiyo ulitaka wasimwambie kile wao wanafahamu..!rubbish kabisa..
 
Yeriko najua utatukanwa sana kwa sababu tu umehama chadema ukaenda Chauma, Mimi si mwanachama wa chama chochote toka 2015 niliichukia siasa kabisa na kuipenda nchi yangu tu na kuanza kujifunza mambo magumu mengi hasa hasa geopololitics and world spionage batles
2. Humu wengi hawawezi kukuelewa wala hawajui hata kwa nini kuna nchi zina vita wanadhani ni viongozi wa hizo nchi ndo walisababisha vita, hawajui foreign influence kwenye world politics ndo maana humu namchukia sana Mange na Maria kwa sababu najua jinsi westerners wanavyojua kucheza na nchi changa wazi destabiolize

3. Haya maandamano kelele uratibu wote umetokea nje vijana wetu ukiwauliza unapigania nini asilimia 90 % hawajui japo na rais wetu na yeye asiingizwe mkenge na wanamtandao kumfanya double agent wa rasilimali zetu
4. Kuna mapungufu yapo ya kurekebisha lakini nchi kubwa zinataka kutumia hizo changamaoto kama fursa ya kupenyesha uasi wa ndani kwa ndani na civil war ili wa enjoy divide and rule

Hpa ukiwauliza watu kwlei libya alikuwa na makosa kihivyo? Omar albashar na sasahivi ipi afadhali? hivi kweli DRC ni kweli wao tu wameshindwa kuelewana basi hata wagawane? Venezuela toka 2016 mpaka leo hawana uongozi mzuri? Enzi hizo Angola kweli walikuwa wanakandamizana ndo wakauana vile ? sasa hivi Ethipia anaandamwa sana mara tigray mara Misri mara erithrea mara somali land kweli ethiopia ni mkandamizaji hivyo au amkekataa ku compromise ndo wanataka kumshughulikia ? HATA SOUTH SUDAN kweli miaka karinu 20 hawana akili wote waache kupigana waongoze kistaarabu huku wanagawana pole pole ?

Waaafrica bado sana nadhani tunahitaji tuanzishe kama nchi somo la kuwafumbua macho lenye title Decromacy source of inflitrations and new coloniasim
 
Nyang'au na tapeli mkubwa wewe, umeshindwa kuhoji kwa nini hao watu wameandamana wewe umejikita kwenye uchimbaji wa uranium huku watu wanakufa?

Ufisadi, utekaji na wizi ulioshamiri hauuoni we kidampa?

Hiyo uranium itakuwa na faida gani ilhali Tanzanite ndio madini pekee yanayopatikana Tanzania ilhali Tanzania sio nchi inayoongoza kwa masoko ya Tanzanite??

Halafu unachimba uranium huku unamiminia watu risasi wanakufa ina faida gani hiyo uranium?

Wave 1 ya maandamano Gen Z wamesalimia machawa ninatumaini wavw 2 watawasilimia na nyie madalali na manyang'au wa siasa za utapeli , your day will come .

Umeshapata vipesa vya damu na project ya CHAUBWABWA basi hapo unajidai unachambua maandamano uliyoyabandika jina la "MACHAFUKO"

Si ni wewe na pro-CCM wenzio mlisema watanganyika hawawezi kuandamana ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…