Machafuko makubwa yarindima Kinshasa, vijana waandama ubalozi wa Uganda na Ufaransa

Machafuko makubwa yarindima Kinshasa, vijana waandama ubalozi wa Uganda na Ufaransa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe kwenu watu wa MUNGU

Huko kinshansa kimenuka

Ubalozi wa Uganda na Ufaransa wachomwa moto na vijana wenye hasira kali

Wanalilaumu JESHI lao kuiacha Goma mikononi mwa M23

LONDON BOY

Screenshot_20250128-171152.png
 
Muungano wa Congo River Alliance unajiandaa kwenda hadi Kinshasa Tishekedi anataka kufanya mauaji ya kimbari.
 
Amani iwe kwenu watu wa MUNGU

Huko kinshansa kimenuka

Ubalozi wa Uganda na Ufaransa wachomwa moto na vijana wenye hasira kali

Wanalilaumu JESHI lao kuiacha Goma mikononi mwa M23

LONDON BOY

View attachment 3216574
Sio dalili nzuri hiyo jeshi litakuwa kwenye panic zaidi badala ya kuwa kwenye utulivu ili lilinde nchi.
 
Nasubiri Trump kutia neno. Maybe not.

Pamoja na kusema hawataingilia, ama kuanzisha vita yeyote ile, kuna watu katika nafasi za Utendaji wa juu kwenye cabinet yake wenye Interest zao.waneza mshauri vingine. Na vile wanavyopenda kujitutumua, kazi ipo.

Malengo ya M23 ndio hayo yanafikiwa. Wamewasha kibiriti wakati mbaya sana.
 
Mcongo na pesa zote izo kushindwa kuwashusha wagner ana komaa na wanajeshi Njaa wa ki Africa na toothless UN
 
Kila jambo sasa duniani linalohusu vita ni Trump ataleta suluhu si ndio?
 
Kwanini wasishambulie ubalozi wa Rwanda ambao naamini ndio adui yao mkuu?
 
Mbona Polisi wa kuzuia Ghasia wanaangalia tu au wamepewa amri ya kutoingilia?!
 
Back
Top Bottom