Machafuko makubwa yarindima Kinshasa, vijana waandama ubalozi wa Uganda na Ufaransa

Machafuko makubwa yarindima Kinshasa, vijana waandama ubalozi wa Uganda na Ufaransa

Congo hawakupaswa kukubali hizi balozi mbili z rwanda na Uganda
 
Wanaenda kuvamia balozi huku adui wao yuko mlangoni tu hapo Goma.
Acha wapigwe tu.
 
Hao vibaka tu, km wana nguvu si waende Kigali wakapigane.
Wanachoma balozi hazina ulinzi wala chochote hapo.
Akili zao dusu kabisa
 
Waende fronti kenge hawa wacheza mayenu hawana lolote....
 
Ukabila na ujinga unawamaliza wacongo, haiingii akilini kuwaondolea Banyamurenge uraia wao , ni kama kuwafukuza wamasai na kusema sio watanzania , I hope M23 washinde wapate uraia wao na usalama wao la sivyo hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom