Machakos man finds robbers who stole his Sh390,000 manning police desk

Huwezi kumuelewa mkikuyu kwa maana anawanyorosh mpaka mnapoteana
Tupe maoni yako kuhusu hawa polisi wanyanyasaji. Au wewe unaona ni freshi tu? Usipumbazwe bure na haya ya Jubilee na NASA. Unachokiona hapa sio malumbano ni peace handshake, Kenyan style! πŸ™‚ Mwisho wa siku tunasonga mbele bila wasi wasi.
 
Thriving in Bitterness and division with your miguna miguna, sisi twasonga mbele with our idleness lead by 2 idle people uhuru & Raila πŸ˜€
 
Thriving in Bitterness and division with your miguna miguna, sisi twasonga mbele with our idleness lead by 2 idle people uhuru & Raila πŸ˜€
😎 Songeni mbele hadi Somalia. Umezoea kuongea pumba leo naona sindano imegonga kwenye mfupa. Uhuru na Raila wataendelea kuunganisha wakenya mpende msipende. Tafuteni mtu mwingine wa kuapisha. [emoji23]
 
Kwani wewe ni mwanasheria hadi uambiwe yote hayo? au ni Mplelezi wa makosa hayo? au unahusika kwa nman moja au nyingine. Map*mbu yako
 
Huwezi kumuelewa mkikuyu kwa maana anawanyorosh mpaka mnapoteana
Wacha nami niwanyoroshe kama Mfipa

Rais Magufuli amesema hayo leo April 27, 2018 wakati akifungua barabara ya lami kutoka Dodoma hadi Babati, Manyara yenye urefu wa kilometa 251 ambayo imegharimu Tsh. Bilioni 378.
β€œSiwezi kuhangaika kutafuta fedha za kujenga barabara, kununua ndege, viwanja, alafu bado nitafute na fedha za kuwanunulia chakula cha bure. Nasema, hakuna chakula cha bure, ambaye hatalima, atakufa njaa,”
β€œMvua imeenyeesha miezi yote halafu ije itokee mwezi wa ngapi mseme tunaomba chakula kuna njaa tutakufa nitasema tu kufa. Nawaambia Watanzania wote kuanzia Kongwa mpaka Chato hakuna chakula kitakachogaiwa mwaka huu,” amesisitiza.
 
Kwani wewe ni mwanasheria hadi uambiwe yote hayo? au ni Mplelezi wa makosa hayo? au unahusika kwa nman moja au nyingine. Map*mbu yako
Ni haki yangu kujua na kuuliza sitaki kudanganywa kama Wadanganyika.
 
What's the context of your post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…