'Machale Championi' Mzigoni na Wasomali.

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Ingia You tube Mcheki mtu anayekwenda kwa Jina La Charlie Champlin utacheka saana , huyu jamaa ukimtafakari Vituko vyake kama HAMNAZO hivi..!
Sasa Timu ya Wenye akili kama huyu jamaa inakipiga kwa Mkapa na Wasomali baada ya kutoka Airport kuwapokea Wapinzani Wa Simba KIMATAIFA.

Sasa hili ni angalizo,Game La Kimataifa Likishamalizika Wasiache Kwenda Airport tena kuwasindikiza Wageni Wao...!

Ama hakika Msukule haukuwa unatania pale uliposema Wote kule ni HAMNAZO isipokuwa. JK na Sunday Manara..!
 
Akili za aina hii halafu mnategemea nchi ipate maendeleo? Yaani hapa Napo Mtu kaona ameandika point na kuna watu watakuja kumuunga mkono.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Naskia Berkane watamsajili Paul Nonga next season
 
unateseka ukiwa wapi KOLO??
 
jumatatu wanatakiwa wasindikize maana wao nimashabiki mseto team inayofata kushangilia ni wale wa niger
 
Uto hawaishiwi vituko. Nao wameamua kuanzisha ligi yao ya kundi F yenye timu nne .
Yanga
Ukrein
Urusi na somalia.
 
Wameamua kujitafutia vibonde hili wajipigie Kisha wawambie CAF wawapandishe katika viwango vya ubora barani Afrika.
 
Hawa Yanga kama Wameshindwa kualika timu Kama As Vita, Mazembe basi, Wangeomba Mechi hata na AZAM Fc. Somalia kwa kweli sio kipimo sahihi.!
 
Duh, Kwa Ranking hiyo unaenda Kuwapima nini Wachezaji wako...?

Si bora tu Wakimbie Mchakamchaka Kama Wasafi Jogging Club Watakuwa wameingiza Kitu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196]
 
Mechi itakuwa channel gani? 🤭🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…