Tetesi: Machali, Kafulila na Katambi kuula

Chacha90

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2017
Posts
433
Reaction score
727
Zilizopo chini ya uvungu zinapenyeza kuwa,vijana tajwa hapo juu wataula Muda siyo mrefu huku lengo kuu likiwa ni kujionesha kuwa CCM ina uwezo wa kumwamini mtu yeyote yule na kumpa nyazifa kubwa.

Huku vijana tajwa hapo juu wakipewa nafasi kubwa zaidi ya kunyakua moja ya nyazifa muhimu zaidi ndani ya Chama cha makanikia,Kijana Mwingine alimaarufu kama msemaji wa Yanga Mstaafu naye soon litamdondokea karai la dhahabu.

Keep waiting.
 
Hakuna mwana chama yoyote katika siasa za tanzania aliyerudi CCM akapewa cheo kikubwa ndani ya chama au teuzi yoyote, ukiachilia wale waliopata teuzi ndio wakarudi kundini

nini nachotaka kusema kafulila na wenzake huo ndio misho wao

Hembu tukumbushe Wasira ilikuwaje?!!
 
Bila CCM kutenganishwa na vyombo vya dola bado ni tatizo kubwa kwa vyama vingine!!!. Watatumia vitisho , rushwa ya madaraka, kuzibiwa riziki kupitia vyombo vya maamuzi. Hii yote huwalazimisha watu kuufyata na kujikabidhi CCM hata kama si hiyari yao!! .
 
Hakuna mkatwa mkia yoyote aliyeambulia cheo cha Magufuli mpaka sasa.

Wote hao, watasuburia mpaka mwisho lakini usitegemee kuna atakaye ambulia cheo chochote kwa Magufuli.
 
Tupe chanzo cha hizo zilizopo chini ya uvungu zinazopenyeza
 
kinachoumiza zaidi hawa vijana waliojidai wao n wafia chama hope wananunaa saana, na huenda taarga hiz c njema kwao
 
Swali langu limejibiwa ur so genius peoplez kama wanahama kutegemea mafanikio ccm itapendeza
 
Hivi huko CCM hakuna wenye sifa ambao wanaweza kuula? Maana wapinzani wengi wanazidi kuula tu.
 
Yale majinga mafia chama,lizaboni jingalao f aizafoxy na takataka za lumumba mbona zinatupwa nje?

$wissme
Si busara kuanza kuporomosha matusi kwa mwingine kisa tofauti ya misimamo ya kisiasa.
Any way Ubarikiwe sana mkuu
 
Yale majinga mafia chama,lizaboni jingalao f aizafoxy na takataka za lumumba mbona zinatupwa nje?

$wissme
Wewe ndie mjinga kwa sababu unatukana watu bila sababu kisa siasa.
Wakati mwisho wa siku lazima uitumikie familia yako tu.
 
Wewe ndie mjinga kwa sababu unatukana watu bila sababu kisa siasa.
Wakati mwisho wa siku lazima uitumikie familia yako tu.
Mkapa alitukana watanzania ni wapumbavu magufuli Arusha alimuita Gumbo mshenzi

Wewe ni mpumbavu pia na ukoo wako

Waziri majibu yake hayo hapo chini

Swissme
 
Attachments

Hakuna mwana chama yoyote katika siasa za tanzania aliyerudi CCM akapewa cheo kikubwa ndani ya chama au teuzi yoyote, ukiachilia wale waliopata teuzi ndio wakarudi kundini

nini nachotaka kusema kafulila na wenzake huo ndio misho wao
Pogba always huenda kinyume.
 
Wewe ndie mjinga kwa sababu unatukana watu bila sababu kisa siasa.
Wakati mwisho wa siku lazima uitumikie familia yako tu.

Umekimbia na hoja zako za lumumba?dada just chill with your boyfriend ok

Swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…