Tetesi: Machali, Kafulila na Katambi kuula

Tetesi: Machali, Kafulila na Katambi kuula

Yale majinga mafia chama,lizaboni jingalao f aizafoxy na takataka za lumumba mbona zinatupwa nje?


$wissme
Hao wanaolamba vyeo sasa hivi, unajua majina yao bandia ya jf wanaitwaje?
Na hao uliowataja kwa kutumia fake ids za jf, majina yao halisi unajua wanaitwaje?
 
Hiyo inaitwa mgeni njoo mwenyeji apone. Ukweli wanaosikia ufahari kuja kwa wageni toka upinzani ni viongozi wa juu lakini wanachama na viongozi wa kati hawana furaha kwakuwa hawa wageni wanakuja kuchukua vyeo ambavyo wao wangepewa
 
Mkuu hili jambo likitokea, hali haitakuwa shwari ndani ya CCM. Mpasuko lazima utatokea, maana ndani ya chama kuna vijana pia tena waliopigania chama hata kipindi ambacho reputation ikiwa mbaya sana.

Sasa hawa wakuja leo waule kirahisi hivyo!
 
Hakuna mwana chama yoyote katika siasa za tanzania aliyerudi CCM akapewa cheo kikubwa ndani ya chama au teuzi yoyote, ukiachilia wale waliopata teuzi ndio wakarudi kundini
nini nachotaka kusema kafulila na wenzake huo ndio misho wao

Una uhakika na unachokisema? Vipi kuhusu Juliana Shonza? Steven Wassira? Dk. Walid Amani Kabourou? Dk. Festus Limbu? Makongoro Nyerere? Abbas Mtemvu? Mtela Mwambapa? Hizza Tambwe? n.k. Orodha ni ndefu... Je, walipata kwanza teuzi ndipo wakajiunga CCM au walijiunga kwanza ndipo wakapata teuzi?...

Pia kumbuka kuwa kuna wengi kama Dk Wilbrod Slaa waliendelea kumiliki kadi zao za CCM (na kuna uwezekano walikuwa wakizilipia)...
 
Back
Top Bottom