Machali kuhusu CWT na unyonyaji wao

Machali kuhusu CWT na unyonyaji wao

JM inc

Senior Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
112
Reaction score
54
Machali saf sana machal anaizungumzia cwt jinsi inavowazingua walimu......

walimu wanalazimishwa kuwa wanachama wa cwt na wanakatwa pesa.......wanaotaka kuanzisha chama kipya bado msajili wa vyama vya siasa anawazuia kwa kuwa kina malengo sawa na chama kilichopo wakati huo huo katba mama inakinzana na hoja hii
 
Nafuu maana hiyo CWT waalimu wengi wanalalamika haiwasaidii kabisa zaidi ya kiwapa T-shirt na kofia mara moja kwa mwaka yaani siku ya Mei mosi
 
Mmmmmmh! Kwani msajili wa vyama vya siasa anafabya kazi ya kusajili vyama vya wafanyakazi? Ama nina uelewa mdogo?
 
Back
Top Bottom