Machalii wa Arusha hawako Romantic kabisa

Huyo chali ana mbisee za kimanda kimandaziii ,sasa hapo unafikiri kuna kisa gani arifuu.... Sembenza kivyako chali angu chuga tuwachie sisi ,watakupiga kwaru shauri yako
 
mimi siwazungumzii machalii wa chuga nawazungumzia mademu wa chuga.... aseehh mademu wa chuga ni noma!! yani juzi nimechukua namba za mademu kama wanne hivi wa sehemu tofauti tofauti hata hawajuani ili niwatongoze halafu nisubir nani ataingia line wa kwanza ili niboreshe, sasa wakati najiandaa niwashushie sound nikashangaa wenyewe wote sasa ndio wananitongoza!! Halafu sound zao sasa... hahahahahahahahaaa ni balaa tupu yani wana bonge ya sound!! daaaahhh mademu wa chuga heshima yenu [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Katika hii thread kuna maneno mengi sana sijayaelewa aisee
 
Shangazi mimi matendo yangu ni mabaya sana ndo maana naona aibu kumuandika kwa herufi kubwa![emoji30][emoji30][emoji30]
hahahahahahahah na kweli ushangazi unakua, hahahahahah asante bhana wakati mwingine tukipewa vyeo tusikatae

Hivi ulisema ni mtoto wa nani vile kwangu? nimesahau kidogo
 
Acha undezi chalaangu.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
ooi jomba u chalii anataka kutuletea penselele na simbi zake za mchele bablai msela anatakiwa awe mgumu na sio kujilegeza kama amekunywa banana arif hizo mambo za uromantic ni uduanzi babaangu
 
HipHop...[emoji15] "Sweet sixteen" amtafute 'marlow wa bembeleza' hapa no yoh yoh...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahaha nimecheka kisoro mpaka nahisi nimekua Tomaso
Arifu sio wote chali yangu
 
Mamanzi wa arusha wapo kama kirikuu uwenzi mfanyia mambo romantic ata kurushia swagga hata maneno aliyosema usiyaelewe,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…