chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,063
- 931
Asee we eroo niaje ?? hujaachaga tu umburula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walokole wa Arusha utasikia wakisema 'bwana yesu asifiwe arifu' au utasikia wakisema 'bwana yesu asifiwe chali angu'![emoji30][emoji30][emoji30]mwambie mwambie
ndio hivo arifHaha siku akija chuga asikae kidandara..anaeza kutana na mamsi akadhan mselaa....[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bwana Yesu yupi anaandikwa kwa herufi ndogo?Walokole wa Arusha utasikia wakisema 'bwana yesu asifiwe arifu' au utasikia wakisema 'bwana yesu asifiwe chali angu'![emoji30][emoji30][emoji30]
Shangazi mimi matendo yangu ni mabaya sana ndo maana naona aibu kumuandika kwa herufi kubwa![emoji30][emoji30][emoji30]Bwana Yesu yupi anaandikwa kwa herufi ndogo?
hahahahahahahah na kweli ushangazi unakua, hahahahahah asante bhana wakati mwingine tukipewa vyeo tusikataeShangazi mimi matendo yangu ni mabaya sana ndo maana naona aibu kumuandika kwa herufi kubwa![emoji30][emoji30][emoji30]
Mikoa gani acha kutusingizia watu wa pwani hatuko hvyoHata wanawake wengi wa mikoani huwa hivyo. Wakavuuuu!