Ukitaka kwenda chugga toa taarifa kabla.
Chugga wakarimu sana ila wewe watakuwa wanakushangaa!! Hujapiga hodi ushafika high table! Kuna haja ya kukukaribisha tena hapo?
Jisevie mwanawane, ila unabahati niko nje ya huko kwa muda.
Umem miss eh?
Kopi: marejesho...... Filipo kakutundika mimba sasa anatangatanga,namshangaa sijui yukoje.
Kopi: Baba V ........mkanye Filipo ushingo feni utamponza