Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Huyu Bazazi ameletwa Arusha ila hajui kuwa huo ndiyo mlango wa kutokea.Ukija na drama zako kulalaleki sisi tuna tunakutizama kisha tuna gonga ile kitu yetu. Tunakupotezea
Halafu hao machalii wanaotoka huko dasa laama ndio wanakuja kutuharibia mkoa wetu, maana wana tamaa kinyama, na hawapendi kazi ngumu ngumu ndio maana wanaishia kupoteza marinda yao kizembe.
Siunaona mwenyewe umekuja na drama zako eti umepanda kwenye kagari unapunga mkiono, unajikuta wewe nani?๐ machali wa chuga hatunaga hizo code. Njoo utekeleze majukumu yako kisha upite hivi.View attachment 2959481
View attachment 2959475
๐๐ chuga hatuanyiagi kitu jombaaaMda so mrefu mtakaa chini myamalize na mama zenu.
Mkitaka ushuhuda waulizeni wapiga debe wa Dar enzi za RC Makonda.
Kudili na wadudu nirahisi sana, kwanza unawaita unakaa nao, pili unaminya mianya yote wanayojipatia vipato. Mfano.. uchoko, wizi, deal chafu n.k.. wenyewe watarudi nyumbani kwa mama zao.
Nakubaliana na wewe mkuu!Mda so mrefu mtakaa chini myamalize na mama zenu.
Mkitaka ushuhuda waulizeni wapiga debe wa Dar enzi za RC Makonda.
Kudili na wadudu nirahisi sana, kwanza unawaita unakaa nao, pili unaminya mianya yote wanayojipatia vipato. Mfano.. uchoko, wizi, deal chafu n.k.. wenyewe watarudi nyumbani kwa mama zao.
Wivu...Nakubaliana na wewe mkuu!
Hawa viumbe wanajiona wajaja kumbe wenye akili tuonaona ni hamnazo.
uzuri ninkwamba huwa hakuna umoja likifika suala la kudeal na wahalifu.
Unachomoa wachache unawafanya kitu mbaya wengine wanajifunza.
Vijana wa dasa laama hao chunga hatunaga hizo codeKuna uzi humu wa vijana wa Arusha watu wametililika balaa๐๐
Inadaiwa..Vinaja wengi kwa tamaa zao wamevuliwa ubingwa na spika zao kupasuliwa.
Machalii ya Ara๐๐ค
Turudi hapa kuhusu BashiteHuyu Bazazi ameletwa Arusha ila hajui kuwa huo ndiyo mlango wa kutokea.
Zerobrain Bashite hawezi kujifunza wala kusoma alama za nyakati.
Unapokelewa na magari, na kusababisha msafara ambao unachelewesha usafiri wa wanaArusha kisa upate mapichapicha ya kijinga