Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ukija na drama zako kulalaleki sisi tuna tunakutizama kisha tuna gonga ile kitu yetu. Tunakupotezea
Halafu hao machalii wanaotoka huko dasa laama ndio wanakuja kutuharibia mkoa wetu, maana wana tamaa kinyama, na hawapendi kazi ngumu ngumu ndio maana wanaishia kupoteza marinda yao kizembe.
Siunaona mwenyewe umekuja na drama zako eti umepanda kwenye kagari unapunga mkiono, unajikuta wewe nani?😃 machali wa chuga hatunaga hizo code. Njoo utekeleze majukumu yako kisha upite hivi.