Machame girls yatoa TO matokeo ACSEE

... Government schools zimetisha matokeo haya tena vishule visivyofahamika sana! Je, ni kutokana na sera nzuri ya elimu including elimu bure? Je, ni kutokana na kumfunga kamba mpinzani wako ili utawale stage bila bughudha?
 
Muhaya katoka bukoba huko kaenda kuwanyooshea kijijini kwao huko machame[emoji28][emoji28]
 
Shule nyingi za advance serikali hufanya vizuri maana wabapelekwa wengi huwa vipanga na huwa no spoon feeding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…