Machame girls yatoa TO matokeo ACSEE

Mtoa mada, baada ya sisi wadau wa elimu kulilalamikia Baraza la Mitihani la Taifa kuhusu wanafunzi wa masomo ya sanaa kutengwa wakati wa matokeo, Baraza lilijiongeza kwa kuanza kutoa matokeo ya watahiniwa waliofanya vizuri katika masomo hayo.


Hivyo huyo Mtahiniwa wa Machame Girls ataitwa TO iwapo tu atakuwa amewashinda washindani wenzake wote! Wakiwemo wale wa masomo ya Sayansi na ambao miaka nenda ndiyo waliokuwa wakiingia 10 bora kitaifa.

Huyo Mtahiniwa ni TO wa masomo ya Sanaa! Na siyo TO wa jumla. Unless otherwise, utuwekee ile orodha ya 10 bora wa jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…