Machangudoa kuahamia Dodoma wakati wa bunge ni vipi?

Machangudoa kuahamia Dodoma wakati wa bunge ni vipi?

Karryma

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Wadau mlioko Dodoma hebu
tujuzeni, hivi haya ya kweli? Au soga tu za mjini kama ni kweli kumbe ndiyo
maana maisha ya wabunge yamepanda huko Dodona na hata wakaongezeana posho. Tujuzeni mlioko Dom
 
Wanaenda kugawana Posho. Shs 330,0000/= kwa siku si mchezo.
 
halafu???
Na ambiance hamna machangu???
Napo ni dom?
 
Wadau mlioko Dodoma hebu
tujuzeni, hivi haya ya kweli? Au soga tu za mjini kama ni kweli kumbe ndiyo
maana maisha ya wabunge yamepanda huko Dodona na hata wakaongezeana posho. Tujuzeni mlioko Dom

Sidhani Kama itakusaidia chochote Kama kweli au laa.
 
1-Kwa kipindi hicho kuna wateja wa kumwaga.
2-Kama una kumbukumbu ndani ya bunge kipindi cha nyuma wabunge waliombwa waende Ddm na wake zao,jiulize.
 
Sio mimi tu ila sisi wote tutajua jinsi tusivyo na wabunge bali wawaza ngono na wateja wa machangu wanaotafuna kodi zetu bila tija yoyote

Posho wapewe wao halafu wewe uwapangie wakutumia nae?? Khaa.....jua tu kwamba na wao wana mambo yao binafsi nje ya majukumu walopewa na wananchi wao!
 
Kinachofanya maisha yapande dodoma sio nyama za mnadani wala kuku wa chako ni changu bali mabinti wanaofurika kutoka mikoani. Inataka moyo kuweza kuwakwepa.
 
Back
Top Bottom